Wote mlale unono mwenzenu leo nimepigwa kibuti sina pozi usingizi sijui utakuja saa ngap?Yake yeye mwenyewe itakua, Nawatakieni Usiku Mwema wote.
Saa ngapi umepigwa kibuti mkuuWote mlale unono mwenzenu leo nimepigwa kibuti sina pozi usingizi sijui utakuja saa ngap?
Mda ule tumeachana c nilimpigia simuSaa ngapi umepigwa kibuti mkuu
Simu ndio chanzoMda ule tumeachana c nilimpigia simu
Wambuzi alioniwekea Mkuu nikashindwa hata kusemaChanzo cha huu uzi ni Wambuzi
Kusema kweli usingiza kushinei,ntakesha leoWambuzi alioniwekea Mkuu nikashindwa hata kusema
leo hadi mie sijielewi kabisa yaniKusema kweli usingiza kushinei,ntakesha leo
kusema kweli wambuzi mi sijui kabisaWambuzi alioniwekea Mkuu nikashindwa hata kusema
Kabisa kabisa maana yake kwa kiengereza ni Squeeze squeeze !!kusema kweli wambuzi mi sijui kabisa
Squeeze maana yake ni kamua au sogeaKabisa kabisa maana yake kwa kiengereza ni Squeeze squeeze !!
Sogea tukaae.. ilikuwa sinema za bure....Squeeze maana yake ni kamua au sogea
Bure siku hizi hamna kitu cha bureSogea tukaae.. ilikuwa sinema za bure....
Bure tena kwishneyBure siku hizi hamna kitu cha bure
Kwishney babujiBure tena kwishney
Babuji ni Jina la kihindiKwishney babuji
Kwishey hii thread iishe mi ndio wa mwishoBure tena kwishney
Mwisho wa siku nyote mlioshiriki kusajiliKwishey hii thread iishe mi ndio wa mwisho
..kusajili hakuna maanaMwisho wa siku nyote mlioshiriki kusajili
