Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Wakuu insta sipapendiMie ni gbefa96 kule insta wakuu
Wakuu insta sipapendiMie ni gbefa96 kule insta wakuu
Tu tu tu ehh wewe ulishawahi tabiriwa na halikutokea? Njoo nikutabirie uone nilivyo nomaMtabiri haaminiki siku hizi utabiri wa uongo tu
Ku follow ndo niniWakuu tuta ku_follow
Sipapendi Facebook kahWakuu insta sipapendi
Noma kweli kutabiriwaTu tu tu ehh wewe ulishawahi tabiriwa na halikutokea? Njoo nikutabirie uone nilivyo noma
Nini hukijui mpenzi wangu jamani laziziKu follow ndo nini
Kah eeeh, mie sipendi kweli insta na fbSipapendi Facebook kah
Fb ndiyo kabisaaa, jamani kipenzi changu black womani yupo wapi aiseeeeeeeehhh kapotea huyu mtuKah eeeh, mie sipendi kweli insta na fb
Sipapendi twitter na badooWakuu insta sipapendi
La azizi hiyo kufollow ndo changamotooooNini hukijui mpenzi wangu jamani lazizi
Huyu mtu amefichwaFb ndiyo kabisaaa, jamani kipenzi changu black womani yupo wapi aiseeeeeeeehhh kapotea huyu mtu
Badoo ndo nini tenaSipapendi twitter na badoo
Mtabiri huyu fake we subiri uoneImooo, yetu macho mtabiri
Uone watakavyo umbukaMtabiri huyu fake we subiri uone
Watakavyohumbuka hawataamini watasema tusubiri 2025Uone watakavyo umbuka
2025 hata 3030 hamna wa kuwapa nchiWatakavyohumbuka hawataamini watasema tusubiri 2025
Jamani si mitandao jamani nikaona akunifai nikaFull loaded tena mdogo wangu, huko ulifikaje jamani
kihivyo Ila nilikoma badoo ni hatari kwa afya

Nchi ni ya .... Milele na milele me sipendi siasa kinoma kwa habari kama hii kwa kweli2025 hata 3030 hamna wa kuwapa nchi
nchi ipi! kwani nyinyi mlipewa yenu moja kwa moja?2025 hata 3030 hamna wa kuwapa nchi
Moja ipi hiyo, mie nina nchi yangu nyie pambaneni na nchi yenunchi ipi! kwani nyinyi mlipewa yenu moja kwa moja?