Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Wengi wao waliadimika ghafla kama weweWengine wapo wapi humu mamaafacebook, kituko, gbefa mdogo wangu sakayo, Zz, Aishah2016, namge, supermarket, stacia, Ukhuty na wengine wengi
Wengi wao waliadimika ghafla kama weweWengine wapo wapi humu mamaafacebook, kituko, gbefa mdogo wangu sakayo, Zz, Aishah2016, namge, supermarket, stacia, Ukhuty na wengine wengi
Jipya ni kuona mheshimiwa presda akipanda ndegeMaisha ndo haya haya kila siku, hamna jipya
Mapema ipi hiyo tenaNani alimwambia aoe mapema
Utakuaje kimya hivyo mdogo wangu bila kunikumbuka, mama na baba wanasemaje mdogo wangu.Hamna jipya mwezi huu ngoja tuone February utakuaje
Sana nakupenda ila bi mkubwa anakufungia zaidiPia sijui analoniwazia sakayo wangu vile vile naamini ananepinda sana
Tena akome alifikiri ndoa ni sawa na kunywa majiMapema ipi hiyo tena
ndoa tamu wakati mnafunga tu mkiingia ndani msala tupuLakini kuna jambo nawaza kuhusu familia yetuUtakuwaje Mungu ndo anajua, mdogo wangu hujambo lakini
Msala tupu??? Usisadiki ya kuambiwa ndoa ni tamu asikudanganye mtuTena akome alifikiri ndoa ni sawa na kunywa maji![]()
![]()
![]()
ndoa tamu wakati mnafunga tu mkiingia ndani msala tupu
Wangu we ndio huko kimya hadi jukwaa linakumissUtakuaje kimya hivyo mdogo wangu bila kunikumbuka, mama na baba wanasemaje mdogo wangu.
Gani tena?hakuna mzimu ni Moyo wako umenihifadhi, usinitafute bure wakati naishi ndani moyoni mwakoKwako tu ndo hakueleweki, mie niko Poa mdogo wangu namshukuru Mungu siku zasonga. Kakako toxic9 kaliwa na mzimu gani
Mungu utupenda sote hata watenda dhambiTutafika tu uwezo wa Mungu
Nammiss pia sakayoMkuu mwambie toxic9 nammiss
Dhambi ni utumwaMungu utupenda sote hata watenda dhambi
Mkewe toxic9 anawasalimia,anasema muwe na jumapili njemaNammiss pia sijui kapigwa pingu na mkewe
Moyoni mwako ningekuwepo ungenikumbuka hata kwa salamuGani tena?hakuna mzimu ni Moyo wako umenihifadhi, usinitafute bure wakati naishi ndani moyoni mwako
Furaha ya gbefa ni furaha yetu mimi na sakayoPembamba kama sindano anapamiss humu Ila ana namna ndoa ni muhimu acja ailinde tu hata kama anakosa furaha
Sakayo mie sijambo, naimalizia weekend nyumbaniNammiss pia sakayo
Salamu ni muhimu pia, halafu wewe usisema hivyo unautonesha moyo wanguMoyoni mwako ningekuwepo ungenikumbuka hata kwa salamu
Sakayo nakupenda sana wewe mdada I wish u long live happier life na mafanikio tele kama kelele za wapinzaniFuraha ya gbefa ni furaha yetu mimi na sakayo