Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Njema jumapili na kwake pia, Msalimie na binti yetu mremboMkewe toxic9 anawasalimia,anasema muwe na jumapili njema
Njema jumapili na kwake pia, Msalimie na binti yetu mremboMkewe toxic9 anawasalimia,anasema muwe na jumapili njema
Wapi hupajui auPembamba ndiyo wapi![]()
![]()
Wapinzani wapo ngangari on fireSakayo nakupenda sana wewe mdada I wish u long live happier life na mafanikio tele kama kelele za wapinzani
Mrembo wetu mzima, msalimie best friend wake, mwambie tunakuja soon tangaNjema jumapili na kwake pia, Msalimie na binti yetu mrembo
Au niambie, sipajui kweli, pembambaWapi hupajui au
Fire fire fire xul ni msuli paper ndio tulikuwa tunaita hivyo, yaani kusoma kwa dharulaWapinzani wapo ngangari on fire
Dharura tuliita zima moto banah wee unasoma mpaka akili inajaa topeFire fire fire xul ni msuli paper ndio tulikuwa tunaita hivyo, yaani kusoma kwa dharula
Wangu moyo umefurahi kuona uwepo wakoSalamu ni muhimu pia, halafu wewe usisema hivyo unautonesha moyo wangu
Wako moyo nipoooooooWangu moyo umefurahi kuona uwepo wako
Wapinzani hawana jipya labda 2020, penda pia wewe mdogo ake mieSakayo nakupenda sana wewe mdada I wish u long live happier life na mafanikio tele kama kelele za wapinzani
Tanga mnakaribishwa mnoMrembo wetu mzima, msalimie best friend wake, mwambie tunakuja soon tanga
Pembamba ni chumbaniAu niambie, sipajui kweli, pembamba
Mie pia nawatabiria wapinzani 2020 election imooooooooWapinzani hawana jipya labda 2020, penda pia wewe mdogo ake mie
Inajaa tope tenaDharura tuliita zima moto banah wee unasoma mpaka akili inajaa tope
Nipo ila nitawaacha punde kuna la muhimuWako moyo nipooooooo
Chumbani ni pakujifichia wakati w kwichi kwichiPembamba ni chumbani
Mie ni gbefa96 kule insta wakuuWapinzani hawana jipya labda 2020, penda pia wewe mdogo ake mie
Imooo, yetu macho mtabiriMie pia nawatabiria wapinzani 2020 election imoooooooo
Mtabiri haaminiki siku hizi utabiri wa uongo tuImooo, yetu macho mtabiri
Wakuu tuta ku_followMie ni gbefa96 kule insta wakuu