Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Utakuwaje Mungu ndo anajua, mdogo wangu hujambo lakiniHamna jipya mwezi huu ngoja tuone February utakuaje
Utakuwaje Mungu ndo anajua, mdogo wangu hujambo lakiniHamna jipya mwezi huu ngoja tuone February utakuaje
lakini februari ni mwezi mdogo hali yaweza kuwa hii hii tuUtakuwaje Mungu ndo anajua, mdogo wangu hujambo lakini
Lakini nini maisha ya mwezi huu hayaeleweki kabisa aisee.. Me niko poa Dada yangu hofu kwakoUtakuwaje Mungu ndo anajua, mdogo wangu hujambo lakini
Hii tu hali yaweza badilishwa na sie wenyewelakini februari ni mwezi mdogo hali yaweza kuwa hii hii tu
Kwako tu ndo hakueleweki, mie niko Poa mdogo wangu namshukuru Mungu siku zasonga. Kakako toxic9 kaliwa na mzimu ganiLakini nini maisha ya mwezi huu hayaeleweki kabisa aisee.. Me niko poa Dada yangu hofu kwako
Mzimu gani unakula watu kipindi hiki cha Jpm zaidi ya pesa tuKwako tu ndo hakueleweki, mie niko Poa mdogo wangu namshukuru Mungu siku zasonga. Kakako toxic9 kaliwa na mzimu gani
hakika tunakoma na bado tutaendelea kukoma Dada naweza kukupm nahitaji ushauri kidogoKidogo kipi chakutatiza mdogo wangu, usijali kama lipo ndani ya uwezo wangu nitakushauriMzimu gani unakula watu kipindi hiki cha Jpm zaidi ya pesa tu![]()
![]()
hakika tunakoma na bado tutaendelea kukoma Dada naweza kukupm nahitaji ushauri kidogo
Tutafika tu uwezo wa MunguKidogo kidogo tutafika tu
Mkuu mwambie toxic9 nammissMungu mkuu
Nammiss pia sijui kapigwa pingu na mkeweMkuu mwambie toxic9 nammiss
Mkewe atakuwa kamuweka pembambaNammiss pia sijui kapigwa pingu na mkewe
Pembamba kama sindano anapamiss humu Ila ana namna ndoa ni muhimu acja ailinde tu hata kama anakosa furahaMkewe atakuwa kamuweka pembamba
Furaha anaipata zaidi akiwa na familia yakePembamba kama sindano anapamiss humu Ila ana namna ndoa ni muhimu acja ailinde tu hata kama anakosa furaha
Familia yake ina furaha kwa sababu ya uwepo wake hakika ni jambo la kujivuniaFuraha anaipata zaidi akiwa na familia yake
Kujivunia zaidi kuona baba anaijali familia yake, toxic9 hakika wewe ni mfano wa kuigwaFamilia yake ina furaha kwa sababu ya uwepo wake hakika ni jambo la kujivunia
Mfano wa kuigwa ni ule wenye matokeo chanya, sio ulevi, uzinzi wizi n.k brother Toxic9 is the bestKujivunia zaidi kuona baba anaijali familia yake, toxic9 hakika wewe ni mfano wa kuigwa
The best man in the world, toxic9 njoo utusalimie kidogoMfano wa kuigwa ni ule wenye matokeo chanya, sio ulevi, uzinzi wizi n.k brother Toxic9 is the best
Kidogo wapi aje huku mazima bhanah watu wamemkumbuka sio kwa kujificha hukoThe best man in the world, toxic9 njoo utusalimie kidogo