Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,753
- 51,237
Wakuu habarini za Jumapili, nawapenda wote bila shaka mpo salama SalminiPia tumshukuru Mungu kwa uhai tulionao, habarini za jumapili wakuu
Wakuu habarini za Jumapili, nawapenda wote bila shaka mpo salama SalminiPia tumshukuru Mungu kwa uhai tulionao, habarini za jumapili wakuu
rohoni mwangu nafarijika sana kuona mpo salama, habari yako mkuu NamgeWakuu Jumapili ya leo naskia rehema ya Mungu rohoni mwangu
Salmini kabisa mungu amesikia maombi yetu at last you're here mkuu welcome backWakuu habarini za Jumapili, nawapenda wote bila shaka mpo salama Salmini
Back to the topic, amekuja kutusalimu au ndo ashaondokaSalmini kabisa mungu amesikia maombi yetu at last you're here mkuu welcome back
Pia sijui analoniwazia sakayo wangu vile vile naamini ananepinda sanaSilijui analoniwazia Aisha wangu.. Lakini naamini ananpenda pia
Salama salmini tupo mkuu, sio kwa kutususa hukoooWakuu habarini za Jumapili, nawapenda wote bila shaka mpo salama Salmini
Huko alikofichwa anapajua yeyeKidogo wapi aje huku mazima bhanah watu wamemkumbuka sio kwa kujificha huko
Ashaondoka wapi ameshafunguliwa huyu tupo nae hapa we subiri uoneBack to the topic, amekuja kutusalimu au ndo ashaondoka
Uone alivyonuna sasa, sijui amnunia naniAshaondoka wapi ameshafunguliwa huyu tupo nae hapa we subiri uone
Yeye atatuambia alikokuwa kajificha hivyo kama pesa ya bongo hadi tumulike na chetiHuko alikofichwa anapajua yeye
Nani alimwambia aoe mapemaUone alivyonuna sasa, sijui amnunia nani
Wengine wapo wapi humu mamaafacebook, kituko, gbefa mdogo wangu sakayo, Zz, Aishah2016, namge, supermarket, stacia, Ukhuty na wengine wengipia kuna uwezekano wq kuwa anapenda wengine
Wamejipumzisha na wenza wao, wewe umenikimbia umeenda mjiniWengine wamejipumzisha
Vibaya hivyo mkuu kumtamani mke wa jirani yakoWamejipumzisha kwasababu jumamosi wameitumia vibaya
Matumaini ukipoteza there is nothing left, you are dead and goneVibaya ni kupoteza matumaini
Jirani yako hajambo lakiniVibaya hivyo mkuu kumtamani mke wa jirani yako
Maisha ni nini?maini siku hizi yamekuwa ghari sana sababu ya hali ngumu ya maisha
Wamejipumzisha na wenza wao, wewe umenikimbia umeenda mjini