gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Africa our home... Saa nne njema zz is backMalaika nakupenda malaika hii myimbo ndiyo iliyo zindua usanii Africa!!
Africa our home... Saa nne njema zz is backMalaika nakupenda malaika hii myimbo ndiyo iliyo zindua usanii Africa!!
Back to you honor GB kwema huko kumeridhia?!Africa our home... Saa nne njema zz is back
Huko kumeridhia hadi umeruhusiwa kakaBack to you honor GB kwema huko kumeridhia?!
Kaka mkubwa nipo hapa nakusalimia mdogo wangu wa dhatiHuko kumeridhia hadi umeruhusiwa kaka
Wangu wa dhati bado sijampata kikamilifu bado natafuta, nakusabahi kaka wa damu Toxic9Kaka mkubwa nipo hapa nakusalimia mdogo wangu wa dhati
Toxic9 hujambo dadaWangu wa dhati bado sijampata kikamilifu bado natafuta, nakusabahi kaka wa damu Toxic9
Dada yako mimi ehh so mimi ni dada, ni njaa kali mpaka huoni unaye quote au nini, haya banah naona unanifananisha mimi na sakayo,Toxic9 hujambo dada
dada anajivungua lini...Toxic9 hujambo dada
endelea utaona mwishoLini mtafika mwishoooo?!!!!
~end~
Dada yako mimi ehh so mimi ni dada, ni njaa kali mpaka huoni unaye quote au nini, haya banah naona unanifananisha mimi na sakayo,

Lini anajivungua ndo nndada anajivungua lini...
ni mchezo wa wanawakeLini anajivungua ndo nn
Tunachotaka ni Demokrasia ya kweliWanawake bwana hatujui tunachotaka
kweli nimeamini tz kuna njaaTunachotaka ni Demokrasia ya kweli
Njaa ipo ila sema mbele za watu wakuite mchochezikweli nimeamini tz kuna njaa