Ile juice ni balaa lingineWapi wanauza juice ya tende ?? Naipenda sana ile
Huijuwi sio neno fasaha sema hauijui, mkuu wikiendi hii ipo njema kwako au majanga tu.Wewe huijuwi
Tu ni kubanjuka tu, Weekend imenibamba,vipi pande hizo? naona mkuu umekua faizafoxyHuijuwi sio neno fasaha sema hauijui, mkuu wikiendi hii ipo njema kwako au majanga tu.
Faiza foxy hana ishu bibi yule,Tu ni kubanjuka tu, Weekend imenibamba,vipi pande hizo? naona mkuu umekua faizafoxy
Mkuu si umenirekebisha hujuwi= hujui uandishi wangu, hizo kazi anaziweza yeye faizafoxy achana nazo,Faiza foxy hana ishu bibi yule,
Kwanini umesema hivyo umemaanisha nini mkuu.
Nazo kwa umoja tutaitaje.Mkuu si umenirekebisha hujuwi= hujui uandishi wangu, hizo kazi anaziweza yeye faizafoxy achana nazo,
Yako tamu sana hasa ukiila ukiwa umelewaMkuu mie niko salamaa kabisa, habari za jumapili yako
Tutaitaje sasa kama tutaoa wote familia mojaNazo kwa umoja tutaitaje.
Moja na moja mbili, jumatatu njema na ofisi njema wakuu tukaze kwenye shughuli zetu za kila siku...Tutaitaje sasa kama tutaoa wote familia moja
Nawapenda sana humu ndani mambo yameanza kuwa very tight yakirelax nitakuwa nawapa hi kimtindo kwa mtakaokuepo.. Kazi njema dada sakayoKheri ya jumapili, Wasalimie sana wazee wangu hapo, waambie nawapenda
January hii Mrembo Sakayo nitamtunza zawadi ya ushindi... mie bukheri ndg yako!!Sakayo kumbe ni dada ?ngoja niendelee kusoma matokeo ya chaguz ndog maana naona tumewapiga sana January hii
siku njema wakuu, goodmorning to you all fellas, its brand new day, lets say thanks to GOD for the blessingsMoja na moja mbili, jumatatu njema na ofisi njema wakuu tukaze kwenye shughuli zetu za kila siku...
My friend huku kubold na italic unazipatia wap mbona mm kwenye cm yangu sizioni? Umeamkaje lkn?Yako kauli ni tata mkuu uwiiiii, sakayo banah usimguse mali ya mtu hiyo baba, zawadi usimpe kabisa, goodmorning to you my friend
Lakini usijali hata bila kubold mwandiko wako unasomekaMy friend huku kubold na italic unazipatia wap mbona mm kwenye cm yangu sizioni? Umeamkaje lkn?
Lakini aisha wewe jamani how is it mwaya umeamkaje leo mtoto mzuri, njoo pm nitakuelekeza how you can do it italics&bolding bila masharti bila gharama bila demand of athingMy friend huku kubold na italic unazipatia wap mbona mm kwenye cm yangu sizioni? Umeamkaje lkn?
