Comodo dragon
Senior Member
- Oct 14, 2015
- 125
- 68
juice na pipi zinapunguza matumiz
Juice ya machungwa au ya maembetakwimu ipo sema mtukufu ataki kuamini wakati saiv anakula pipi na juice
hahahahahahahhahaha noma sana huu mchezo auhitaji hasiralock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Maisha ni safari ndefu tuvumiliane tu...mawazo ni ugonjwa ambao kila mtanzania anao kutokana na ugumu wa maisha.
Friend mbona wanizibia milango ya rizikiYako kauli ni tata mkuu uwiiiii, sakayo banah usimguse mali ya mtu hiyo baba, zawadi usimpe kabisa, goodmorning to you my friend
Sakayo nimecheka sana na hiyo comment ya ELY, daahDada yako mimi ehh so mimi ni dada, ni njaa kali mpaka huoni unaye quote au nini, haya banah naona unanifananisha mimi na sakayo,
Riziki kama ipo ipo tu, samahani lakini kuingiliaFriend mbona wanizibia milango ya riziki
Daah we mwache tu njaa kali inamfanya haoni, akirudi aje atolee maelezoSakayo nimecheka sana na hiyo comment ya ELY, daah
Tunachotaka ni mabadiliko ya sera mbalimbali za kilimo, kuanzia kumtafutia soko mkulima, kumuwezesha mkulima kimkopo nk ili zimsaidie mkulima anufaike na kilimoWanawake bwana hatujui tunachotaka
Kweli trump ni upupu kwa afrika, ukweli mchungu kumezaTunachotaka ni Demokrasia ya kweli
Kumeza kigai ni rahisi kuliko kumeza tonge la nunzi!!Kweli trump ni upupu kwa afrika, ukweli mchungu kumeza
Nunzi ni kitu gnKumeza kigai ni rahisi kuliko kumeza tonge la nunzi!!
gani ?? nilikusudia kuandika bunzi la mahindi!!😛😛😎Nunzi ni kitu gn
Debe tupu halivumi kamweMahindi yapanda bei tz kwa debe
Kamwe usi give up mpk mshindi apatikane nipo wajomba na mashangazi,pacha t9 naona siku mbili hizi bando halikauki! majanga kidogo yaliniweka bize natumai wote wazimaDebe tupu halivumi kamwe
Wazima tupo mashakani njaa inatunyemeleaKamwe usi give up mpk mshindi apatikane nipo wajomba na mashangazi,pacha t9 naona siku mbili hizi bando halikauki! majanga kidogo yaliniweka bize natumai wote wazima
Inatunyemelea nani kasema? Serikali imeshatangaza hakuna njaa nchini TanzaniaWazima tupo mashakani njaa inatunyemelea