Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kuingilia na kupeperusha zawadi yanguRiziki kama ipo ipo tu, samahani lakini kuingilia
Kuingilia na kupeperusha zawadi yanguRiziki kama ipo ipo tu, samahani lakini kuingilia
Maelezo ya nini, mpotezee tu mkuuDaah we mwache tu njaa kali inamfanya haoni, akirudi aje atolee maelezo
La mahindi ni sio bunzi ni gunzigani ?? nilikusudia kuandika bunzi la mahindi!!😛😛😎
mkuu wa nchi ndiye mwenye mamlaka makubwa zaidi ya kuamua...kuhusiana na nchi anayoiongoza...Maelezo ya nini, mpotezee tu mkuu
anayoiongoza imepindamkuu wa nchi ndiye mwenye mamlaka makubwa zaidi ya kuamua...kuhusiana na nchi anayoiongoza...
Wazima sie, we umetokea wapi kama mvua za vuliKamwe usi give up mpk mshindi apatikane nipo wajomba na mashangazi,pacha t9 naona siku mbili hizi bando halikauki! majanga kidogo yaliniweka bize natumai wote wazima
vulia ata nzi wakikaa meza moja na wew unahis wanakusemaWazima sie, we umetokea wapi kama mvua za vuli
Wanakusema au wanakuteta kwa hulka ulobobea...!?vulia ata nzi wakikaa meza moja na wew unahis wanakusema
ulobobea wapi wakati nchi imekosa wabobezi wa sayansiWanakusema au wanakuteta kwa hulka ulobobea...!?
Sayansi pakee au hata sayansi kimu?ulobobea wapi wakati nchi imekosa wabobezi wa sayansi
Wazima sisi pacha, hofu ni kwakoKamwe usi give up mpk mshindi apatikane nipo wajomba na mashangazi,pacha t9 naona siku mbili hizi bando halikauki! majanga kidogo yaliniweka bize natumai wote wazima
Kamwe sitamsamehe dogo mmoja hivi humu, anajiita Ely naona analeta ubwege,Debe tupu halivumi kamwe
Debe moja la mahindi=Mahindi yapanda bei tz kwa debe

Sakayo HahahahaDada yako mimi ehh so mimi ni dada, ni njaa kali mpaka huoni unaye quote au nini, haya banah naona unanifananisha mimi na sakayo,
Toxic9 anakusubiri hapa umemuita dada leo, mkuu leo umukula niniSakayo Hahahaha
Mambo vipi kaka toxic9
Nini tena mkuu toxic9Toxic9 anakusubiri hapa umemuita dada leo, mkuu leo umukula nini
Nini kimefanya umuulize leo amekula niniToxic9 anakusubiri hapa umemuita dada leo, mkuu leo umukula nini
Nini tena mkuu toxic9
Si unajua tena ID za humu ni majanga tu mkuu
ID kuijua kuwa hii ni ya mwanamke au mwanaume ni vigumu sana aiseee!!
Yaweza kuwa hata huyu Sakayo ni mwanaume au mwanamke
Nini cha ajabu, nimemuuliza maana sio kawaida yake kujichanganya, inawezekana amekula chakula chenye kilevi ndani yake.Nini kimefanya umuulize leo amekula nini
Tutajua Ahahaha haya bhanaMwanaume au mwanamke achana navyo sio muhimu sana hapa JF, sana sana ni kuchangia na nakupita hivi, kwa hiyo ulijua mimi ni KE na ulitaka urushe kete, endelea kurusha kete mkuu, siku tukikutana ndiyo tutajua.