Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,753
- 51,243
Unasomeka yah but aisha she wants something beautifulLakini usijali hata bila kubold mwandiko wako unasomeka
Unasomeka yah but aisha she wants something beautifulLakini usijali hata bila kubold mwandiko wako unasomeka
Beautiful gift ninayo mie pekee....Unasomeka yah but aisha she wants something beautiful
Beautiful tena? Sweetheart upo kusifia watu humu eeeUnasomeka yah but aisha she wants something beautiful
Pekee eti Zamiluni, wewe mtata mkuu, unataka kuharibu ndoa yangu mkuuBeautiful gift ninayo mie pekee....
Eeee dear, nimesema hivi aisha anataka kitu kizuri jamani mambo ya italics&boldingBeautiful tena? Sweetheart upo kusifia watu humu eee
Italics&bolding hapo sawa... Maana mautamu ya kihaya usingeyapataEeee dear, nimesema hivi aisha anataka kitu kizuri jamani mambo ya italics&bolding
Pekee wapi wewe.... Beautiful gift anayo kila mtuBeautiful gift ninayo mie pekee....
Nguvu za kiume timamu zimekuwa adimu sana...Mtu wangu wa nguvu
Magu ni wilaya yenye zao La pamba huko kanda....Shilling has been missing wa TZ wanalialia wakimlaumu anko magu
Kanda ipi maliziaMagu ni wilaya yenye zao La pamba huko kanda....
Kanda ya wapi mkuuMagu ni wilaya yenye zao La pamba huko kanda....
umetishaMali ziada utailipia kodi siku hizi TRA wapo macho !!!Kanda ipi malizia
Macho km ntongoMali ziada utailipia kodi siku hizi TRA wapo macho !!!
ZZZ zilipendwa zamani.....Umetisha sana zz
Zamani mafisadi waliishi Kama malaikaZZZ zilipendwa zamani.....
Malaika nakupenda malaika hii myimbo ndiyo iliyo zindua usanii Africa!!Zamani mafisadi waliishi Kama malaika