Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Auu atakuwa club!? nimewamiss humu ndani Ila Leo nipo kunyonya dah ukirudi home visanga vya kupika na kuchota maji hadi simu unasahau kwa kweli niwatakie jumapili njema na wiki end njema tufanye ibada wale wa ibada wale wa starehe na refreshment pia Ila tusimkwaze Allah/God kila la kheri..
Kheri ya jumapili, Wasalimie sana wazee wangu hapo, waambie nawapenda
 
Back
Top Bottom