Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
izi ni nyakati muafaka za kuEnjoy weekendiNamge naona kashanisahau cjui yuko pande gn saa izi![]()
izi ni nyakati muafaka za kuEnjoy weekendiNamge naona kashanisahau cjui yuko pande gn saa izi![]()
Blue Monday naipenda cz nisiku ambazo napiga hela sana ktk ishu zangu mjini
Uhuru bila mipaka ni shidaRika mbali mbali ndo maana unatakiwa kuwa makini na majibu unayotoa, sio kila mmoja atayafurahia na sio vyema kumkwaza mwingine kisa tu eti ni uhuru
Mjini jua kali snBlue Monday naipenda cz nisiku ambazo napiga hela sana ktk ishu zangu mjini
Sn sana wataishia kukaumu lakini ukweri utabaki palepaleMjini jua kali sn
Wangu wa moyoni sinto kuachia mkono..,
naimani sote tukinyanyua mikono juu na kuomba Mungu ateremshe mvua tutabarkiwa na ardhi itazaa mazao yatakayo kidhii haja na uhaba wa chakula....
Sana mkuu,familia yako ni yangu na yangu ni yakoFamilia ya sakayo naipenda sana
Sakayo mie sijambo jamani, sio kwa sifa hizo mkuuYako sura na tabia ndivyo vinanifanya vinanivutia sana mrembo sakayo
Hizi taarifa za wewe na namge niachie baba paroko niwapatanishe, ila wewe ndiyo mkorofi aisha, maana humpi namge haki zake.Namge naona kashanisahau cjui yuko pande gn saa izi![]()
Anamvutia machoni tuu, NgastukaaSakayo uyu toxic 9 kila mtu anamvutia![]()
![]()
Monday ni siku naipenda sana katika wiki
ngastuka machale kunchezaAnamvutia machoni tuu, Ngastukaa
Ushilawadu unamfaha zaidi Sudi BrownKingine ni kwamba acha ushilawadu,
Sana aisha, hebu mpatane upesi na namge, halafu tembo wenu ni mkali ehhMjini jua kali sn
haki zake, hata wewe pia una haki zako lazima uzipateHizi taarifa za wewe na namge niachie baba paroko niwapatanishe, ila wewe ndiyo mkorofi aisha, maana humpi namge haki zake.
Vizuri sana mkuu kituko huna haja kuelezea tabia yako hadharaniKawaida ya humu huwa hakuna maneno makali kama hayo, jirekebishe kaka, wadau kama Sakayo , mamaafacebook II , toxic9 , Blaki Womani , Namge , xav bero na wengineo hawawezi kujisikia vizuri
Yako naipenda zaidi kama navyokupenda weweSana mkuu,familia yako ni yangu na yangu ni yako
mkuu, hili neno linapendwa sana kutumiwa humu wengine hatuna hata ukuu wowote uleSakayo mie sijambo jamani, sio kwa sifa hizo mkuu
Eeehh tembo wa kufugwa hana ukali wowote maana niwa maonyeshoSana aisha, hebu mpatane upesi na namge, halafu tembo wenu ni mkali ehh