Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,706
- 51,038
Mkuu hivi unanipenda kweli wewe mwanamkeSakayo mie sijambo jamani, sio kwa sifa hizo mkuu
Mkuu hivi unanipenda kweli wewe mwanamkeSakayo mie sijambo jamani, sio kwa sifa hizo mkuu
Ngastuka ndio lugha gani hiyoAnamvutia machoni tuu, Ngastukaa
Wiki inayoaanza kesho itabidi kupangilia mambo sawa sawa kabla mwezi haujafika tamatiMonday ni siku naipenda sana katika wiki
Ngastuka hunipendiAnamvutia machoni tuu, Ngastukaa
Sudi brown ni kiboko yaoUshilawadu unamfaha zaidi Sudi Brown
Sudi brown ni kiboko yao
Uzipate wapi mkuu, mimi mwenyewe nimenyimwa haki zangu za msingi mkuu nimebaki kuwa mpole kama maji ya mtungihaki zake, hata wewe pia una haki zako lazima uzipate
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Sudi brown ni kiboko yao
Maonyesho ya tembo kwa kina aisha ni nouma, ila huyu aisha huyu kwao ulinzi mpaka tembo jamani vijana watakuja kweli kuonesha niaEeehh tembo wa kufugwa hana ukali wowote maana niwa maonyesho
Hiyo ni lugha ya kichagga mrembo, ila black womani unajua nina kesi na wewe, kwanini hujanijibu sasa kama utakuja na unga sembe, mchele maana maisha yamebadilika mtoto mzuriNgastuka ndio lugha gani hiyo
Tamati ya game la heavy wait eti beautifulWiki inayoaanza kesho itabidi kupangilia mambo sawa sawa kabla mwezi haujafika tamati
Historia ni somo linalo hitaji ujue kujielezea sio bla blaYao ukipenda Wayao ni kabila kubwa sana ktk historia.
Sura yake akificha ndiyo anatusua bila kuogopa mkuu, acha atusue yaliyo nyuma ya paziakiboko yao hasaa, anawapaka wasanii hatari, hats sijawahi ona sura yake
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
ccm haina chakulaUmasikini umeletwa na serikali ya ccm dhaifu
mpini mkubwa hauingii kwa tundu la jembeHakuja sababu ashasikia story zako kuwa una mpini mkubwa
Jembe gani LA mkono au LA kuvtwa na ngo'mbempini mkubwa hauingii kwa tundu la jembe
Ng'ombe havuti jembe mkuu, hujasoma sayansi kilimo ehhh, au wewe sio wa shule za kayumbaJembe gani LA mkono au LA kuvtwa na ngo'mbe
Wewe ni muungwana mkuuYako naipenda zaidi kama navyokupenda wewe
Mwanamke huwa anajifunza kupenda, ngoja na mie nianzeMkuu hivi unanipenda kweli wewe mwanamke
Hiyo ni lugha ya toxic9Ngastuka ndio lugha gani hiyo