goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,151
Kingine ni kwamba acha ushilawadu,Blaki Womani ni mdada fulani wa Mbugani, AR, ana rasta fulani hivi short and natural, mpenzi sana wa Dry red wine, kuna kingine?
Kingine ni kwamba acha ushilawadu,Blaki Womani ni mdada fulani wa Mbugani, AR, ana rasta fulani hivi short and natural, mpenzi sana wa Dry red wine, kuna kingine?
Ushilawadu ndio nini kaka?, haaaa haaaa, lugha zenu hizi vijana tabu tupuKingine ni kwamba acha ushilawadu,
Tupu ya kike ni tamu kuliko kawaida.Ushilawadu ndio nini kaka?, haaaa haaaa, lugha zenu hizi vijana tabu tupu
Kawaida tu Mkuu.. Naona weekend hii umekesha nayoTupu ya kike ni tamu kuliko kawaida.
Tupu ya kike ni tamu kuliko kawaida.
Vizuri kama unaishi kwa kuangalia watu watakufikiriaje, don't care what they think about....Kawaida ya humu huwa hakuna maneno makali kama hayo, jirekebishe kaka, wadau kama Sakayo , mamaafacebook II , toxic9 , Blaki Womani , Namge , xav bero na wengineo hawawezi kujisikia vizuri
Nayo neno hilo umejuaje, yaani kama ulikuwepo vileKawaida tu Mkuu.. Naona weekend hii umekesha nayo
Apendavyo mtu kuishi hakuna wa kumlazimisha vinginevyo, lakini unapokuwa kwenye jamii, unakuwa na staha kidogo, kuna majukwaa unaweza kuwa free kuongea chochote, lakini humu sioVizuri kama unaishi kwa kuangalia watu watakufikiriaje, don't care what they think about....
Fanya kile unachopenda na kuwa huru usitake kuonekana mtu mwema sana, na kuogopa watu.
Kila mtu aishi na apendavyo,
Black womani is our best friend in the world incase you want to know herNgumu kwel kwel hasa kwa wale wanaopenda dezo dezo,,awamu hii kila MTU unaweza mwambia shikamoo,,,nataka kujua who z black woman
chief of staff ni cheo cha juu sana kwenye ikulu ya white house...Pia nawe Jumapili njema chief
Wakuu tupo tunakusikiliza tuambie umejifunza nini leo kanisaniChurch ni lazima maana kulindwa na Mungu wiki nzima ni neema ya pekee, habarini za jumapili wakuu
Njema kabisa namge, namaste namgeWakuu mpo.. Hope weekend ipo njema
Vipi hali ilivyo huko mkuuNjema kabisa mkuu, weekend yako vipi?
Kabisa wanatoa lock, hapo ndiyo napo anza kuichukia pombe juu ya hangoverWakuu wako kimya, wachache wako Kanisani, wengi wako sehemu wanatoa lock, balaa kabisa
Vizuri kabisa kumkumbusha, kuna maneno ya kutumia mahali penye watu wa rika tofautiKawaida ya humu huwa hakuna maneno makali kama hayo, jirekebishe kaka, wadau kama Sakayo , mamaafacebook II , toxic9 , Blaki Womani , Namge , xav bero na wengineo hawawezi kujisikia vizuri
Kingine kinacho kusumbua ni unapenda pombe sana mkuuBlaki Womani ni mdada fulani wa Mbugani, AR, ana rasta fulani hivi short and natural, mpenzi sana wa Dry red wine, kuna kingine?
Sio vyema kujionyesha mbele za watu kuwa una mawazo ya usiku kila mara, yap ni uhuru ila uhuru nao ukizidi huwa kero kwa wengineApendavyo mtu kuishi hakuna wa kumlazimisha vinginevyo, lakini unapokuwa kwenye jamii, unakuwa na staha kidogo, kuna majukwaa unaweza kuwa free kuongea chochote, lakini humu sio
Mkuu hali ni salama, ndio nimetoka ibadani nimewaombea woteVipi hali ilivyo huko mkuu
Kabisa wanatoa lock, hapo ndiyo napo anza kuichukia pombe juu ya hangover
Tofauti iko wazi kabisa, kwa kushiriki humu lazima utajua kuwa humu kuna watu wa rika mbalimbaliVizuri kabisa kumkumbusha, kuna maneno ya kutumia mahali penye watu wa rika tofauti