Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hunipendi sababu gani, Mungu hapendi ujue, kasema tupendane sisi kwa sisiNgastuka hunipendi
Hunipendi sababu gani, Mungu hapendi ujue, kasema tupendane sisi kwa sisiNgastuka hunipendi
Toxic 9 mwanao hajambo lkn?Hiyo ni lugha ya toxic9
Nianze na mm kutafuta wa ubaniMwanamke huwa anajifunza kupenda, ngoja na mie nianze
Mkuu ni kila mtu huku jf ss sjui nani ni mdogo?Wewe ni muungwana mkuu
Kanumba ni mwigizaji, tunasemaga shule za Kayumba au Kiswahili mediumNg'ombe havuti jembe mkuu, hujasoma sayansi kilimo ehhh, au wewe sio wa shule za kanumba
Lakini Aisha mwaka 2016 si umeisha auToxic 9 mwanao hajambo lkn?
Mdogo mie waweza niita tu SakayoMkuu ni kila mtu huku jf ss sjui nani ni mdogo?
Kuncheza au kundessaaa, toxic9 toa jibu moja sahihi
Mkuu kama wewe ulivyo sakayoWewe ni muungwana mkuu
Ule umuhimu ulonao kwa watu ndo ukuu wenyewemkuu, hili neno linapendwa sana kutumiwa humu wengine hatuna hata ukuu wowote ule
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Nianze na mimi kujifunza kuogelea kwenye kina kirefu cha mahaba ili nisitoke punde tu ukijua kupendaMwanamke huwa anajifunza kupenda, ngoja na mie nianze
Sakayo ni member wa jfMkuu kama wewe ulivyo sakayo
Wenyewe walivyo na uchoyo...!Ule umuhimu ulonao kwa watu ndo ukuu wenyewe
Wa ubani wako namge umemkimbia tena jamaniiNianze na mm kutafuta wa ubani
Toxic9 penda sana veve sakayoHiyo ni lugha ya toxic9
Kupenda kwa hitaji upendo, Uvumilivu na heshima. Ukiwa na hayo yote kwa umpendae maisha utayaona paradisoNianze na mimi kujifunza kuogelea kwenye kina kirefu cha mahaba ili nisitoke punde tu ukijua kupenda
Uchoyo wa mtu huonekana wazi, habari za siku nyingiii mkuuWenyewe walivyo na uchoyo...!
Sakayo ndo nshapendwaaa tena huku jamani, black women hebu anza kudai mahariToxic9 penda sana veve sakayo
Lakini aisha hao tembo na mbwa nyumbani mbona ni vizingiti kwetu, mwanangu ajambo unajua anaitwa nani? ukipatia JINA anaitwa nani nitakupatia zawadi zawadi yako nonoToxic 9 mwanao hajambo lkn?
Ubani..........!!!!!!Nianze na mm kutafuta wa ubani