Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Watu Wanasema mtihani mgumu ni wa Form 4 ....Lakini mi nachojua mtihani mgumu ni pale jamaa mwenye michepuko mingi anapotumiwa SMS na mmoja wa demu zake kwa kutumia Namba ngeni: ONA HII
Demu: Mambo?
Jamaa; Poa nani?
Demu: Happy
Jamaa: Happy nani?
Demu: heee!! Kwani unawajua wangapi?
Jamaa: Mmoja
Demu: mtaje
Jamaa: Happy birthday .
 
Birthday yako lini Numbisa
 
Back
Top Bottom