Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,056
wote mmeipenda hiyo pua au
Au watu wote waanze kuamka. Asubuhi kumekucha.wote mmeipenda hiyo pua au
soo ni kuendelea kukosea badala ya kurekebisha......Ushauri wa wasaidizi wake kutowasikilizwa? sasa mnafika mbali, mi simo hili linaweza kuwa soo.
Kurekebisha ni njia bora ya kuyajenga.soo ni kuendelea kukosea badala ya kurekebisha......
Kurekebisha makosa ni jambo zuri sana.soo ni kuendelea kukosea badala ya kurekebisha......
Sana sana niwasalimie wote wadau wangu wa humu ndani, natumai wote mpole salama na afya tele,i miss you friends, goodmorning allKurekebisha makosa ni jambo zuri sana.
..All Is well Mkuu toxic,pass My regards to your lovely wifeSana sana niwasalimie wote wadau wangu wa humu ndani, natumai wote mpole salama na afya tele,i miss you friends, goodmorning all
Wife is indeed warm receiving your salutation my bro, she also saying hi! to you, Hb wa ilala tupo pamoja mkuu, mambo niaje mzee wa kazi..All Is well Mkuu toxic,pass My regards to your lovely wife
Wife to be where are you, I have been looking for you for a long time with a couples of hours please show yourself stop discourage me like that please I beg you show yourself and let's get married.. Oooh my brain stop thinking about her over and and over don't you remember what she has done to you early, am out of this do it by yourself.. Natumai mu wazima humu ndani basi Wakuu asubuhi njema na majukumu mema..All Is well Mkuu toxic,pass My regards to your lovely wife
Kuyajenga maisha ni jukumu lako sio la serikali, namaste NamgeKurekebisha ni njia bora ya kuyajenga.
Kurekebisha tabia na mwenendo wa maisha yako ni jambo la muhimu chief mkwawasoo ni kuendelea kukosea badala ya kurekebisha......
Au ni kuulize mkuu, je ni haki na halali watoa huduma wa mawasiliano VODACOM kwende kutoa ushahidi wa mazungumzo ya Mr&mrs lema na mkuu wa mkoa wa Arusha mahakamani kwenye kesi ya uchochezi inayomkabili lemawote mmeipenda hiyo pua au
Wote tunamshukuru Mungu kwa kila ulinzi anaotupa wa kila siku, namaste atugNimeipenda siku ya leo inavyoishia. Usiku mwema wote
Hiyo usijaribu ni hatari kwa afya yako sumu9toxic9 ndo nick name yako hiyo
Toxic9 amekumiss sana pacha, life is full of suprise leo unaweza niona kesho usinione kwasababu hakuna aijuaye kesho pachaMkuu namanisha toxic9
T9 nasomeka hapa mkuuMkuu gbefa niajeh!yuko wapi huyu pacha wangu t9?
Sana sana muombe kwa Mungu siku zote, tulimpenda jane sana, lakini Mungu kampenda zaidi, i miss you best friend in townJamani Jane wangu alitangulia mbele ya haki wakati nikiwa namhitaji mno, tena akiwa na umri mdogo sana miaka ishirini tu jamani, Jane nammiss sana
Wenyewe wanasema mabadiliko ya tabia ya nchi ni laana, mimi nasema hapana ni utunzaji wa mazingira umekuwa holela kukata miti hovyo na uchomaji wa misitu, niaje mdogo wangu gbefa mambo ni nini chaliiMajukumu ya kujenga nchi yapo mikononi mwetu wenyewe
Mema yako can makes you wife proud and stay long with you, a woman is not supposed to be beaten but to embrace her close and show her that you are there to protect her daima mileleWife to be where are you, I have been looking for you for a long time with a couples of hours please show yourself stop discourage me like that please I beg you show yourself and let's get married.. Oooh my brain stop thinking about her over and and over don't you remember what she has done to you early, am out of this do it by yourself.. Natumai mu wazima humu ndani basi Wakuu asubuhi njema na majukumu mema