Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Majukumu kwakweli ni mengi na yanazidi kuongezeka kadiri umri unavyoongezekaWakuu poleni na majukumu
Majukumu kwakweli ni mengi na yanazidi kuongezeka kadiri umri unavyoongezekaWakuu poleni na majukumu
Jamani Jane wangu alitangulia mbele ya haki wakati nikiwa namhitaji mno, tena akiwa na umri mdogo sana miaka ishirini tu jamani, Jane nammiss sanaJane gani tena huyo jamani?
Unavyoongezeka na uzee ndo huo wajaMajukumu kwakweli ni mengi na yanazidi kuongezeka kadiri umri unavyoongezeka
Waja kwa kasi sanaUnavyoongezeka na uzee ndo huo waja
Waja lini dar mkuuUnavyoongezeka na uzee ndo huo waja
sana sana kama alikuwa mtu wako karibu lazima uumie sana, poleJamani Jane wangu alitangulia mbele ya haki wakati nikiwa namhitaji mno, tena akiwa na umri mdogo sana miaka ishirini tu jamani, Jane nammiss sana
Yapo tena?, we si unapenda ladies beach volleyball?![]()
![]()
![]()
![]()
kama yapi
Siupendi hata mimiVolleyball huu mchezo hapana siupendi
Mkuu gbefa niajeh!yuko wapi huyu pacha wangu t9?Waja lini dar mkuu
t9 ni jina la mtu au ulitaka kumaniisha nini mkuu??Mkuu gbefa niajeh!yuko wapi huyu pacha wangu t9?
Mkuu kumbe hii game bado inaendelea hadi leo?t9 ni jina la mtu au ulitaka kumaniisha nini mkuu??
Leo na mda huu mimi ndiyo naamka!Mkuu kumbe hii game bado inaendelea hadi leo?
Mkuu namanisha toxic9t9 ni jina la mtu au ulitaka kumaniisha nini mkuu??
Nimeipenda siku ya leo inavyoishia. Usiku mwema woteHiyo pua yako nimeipenda
Wote mlaleNimeipenda siku ya leo inavyoishia. Usiku mwema wote