Ameshiba nini?, mbona mchana umempita bila kula chochote?Hataki au ameshiba
Kula chochote kile ambacho kina lishe nzuri acha kula vya mafuta mafuta bhanah, wakuu nawasalimu muwe na ijumaa kareemAmeshiba nini?, mbona mchana umempita bila kula chochote?
Ijumaa Kareem na wewe piaKula chochote kile ambacho kina lishe nzuri acha kula vya mafuta mafuta bhanah, wakuu nawasalimu muwe na ijumaa kareem
Pia kwakoIjumaa Kareem na wewe pia
Chochote kipo nilichokula, ugali sangaraAmeshiba nini?, mbona mchana umempita bila kula chochote?
Sangara wa kuchoma, kukaanga ama wa mchuzi, kaungwa na nazi?Chochote kipo nilichokula, ugali sangara
Kaungwa na nazi na kaugali ka moto na mboga za majani kidogo weee mbona utasahau kaziSangara wa kuchoma, kukaanga ama wa mchuzi, kaungwa na nazi?
Kazi na dawaKaungwa na nazi na kaugali ka moto na mboga za majani kidogo weee mbona utasahau kazi
Beach volleyballVolleyball ni mchezo mzuri sana, ziko za aina yofauti tofauti, kuna za viwanja vya Cement, kuna clay na kuna beach volleyball, wewe hipi unapenda?
Dawa ya moto ni majiKazi na dawa
Maji yapi? Haya haya ya chumvi au barid? Mana kwangu Nina visima viwil kimoja cha chumvi kingine maji poa,,,hua naamua kuuza haya ya chumvi kuwakomoa hawa wanunuzi maana wanatabia mbaya,ananunua ndoo moja half anakupa elfu kumi wakati ndoo shilingi mia mbiliDawa ya moto ni maji
Mbili Mara mbili nne, nne mara nne kumi na sitaMaji yapi? Haya haya ya chumvi au barid? Mana kwangu Nina visima viwil kimoja cha chumvi kingine maji poa,,,hua naamua kuuza haya ya chumvi kuwakomoa hawa wanunuzi maana wanatabia mbaya,ananunua ndoo moja half anakupa elfu kumi wakati ndoo shilingi mia mbili
nyimbo za kushika table mnakumbuka wakuuBeach Volleyball, we una yako sio bureBeach volleyball
Kazi muhimu na ndio inayoleta uto tusangara na dona, dah mate yamenidondokaKaungwa na nazi na kaugali ka moto na mboga za majani kidogo weee mbona utasahau kazi
Wakuu poleni na majukumuMbili Mara mbili nne, nne mara nne kumi na sita![]()
![]()
nyimbo za kushika table mnakumbuka wakuu
Yamenidondoka machozi sababu ya kumkumbuka mpendwa wangu JaneKazi muhimu na ndio inayoleta uto tusangara na dona, dah mate yamenidondoka
Majukumu ya kujenga nchi yapo mikononi mwetu wenyeweWakuu poleni na majukumu
Yamenidondoka machozi sababu ya kumkumbuka mpendwa wangu Jane