Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Jioni iko njema, sijui kwakoUpo powa gbefa na wadau wa huu uzi za jioni..
Jioni iko njema, sijui kwakoUpo powa gbefa na wadau wa huu uzi za jioni..
Mbaya kiuchumi kila konaJioni kwangu iko poa sijui kwa wenzangu, japo hali ya kiuchumi kwangu ni mbaya
Humu ndani ndugu yako ni nani Kituko jamaniiNdugu yangu mmenionea humu?
Mvua za vuli zimezidi kuwa adimu na za masika me nipo mkuu tena ni ni mwingi kama lawama za upinzaniUpo wapi wewee, umepotea kama mvua za vuli
Jamani mpooHumu ndani ndugu yako ni nani Kituko jamanii
Upinzani wa simba na yanga umepitwa na wakati,azam bora 10timesMvua za vuli zimezidi kuwa adimu na za masika me nipo mkuu tena ni ni mwingi kama lawama za upinzani
Upinzani wa Tanzania au gambia ,,,,maana kule wana akili kdgo hawatetei wanaovunja sheria kam kwetu halafu wa Kule inaonekana hawafurahii serikali kushindwa Ila huku wanasubiri kauli za rais wakosoeMvua za vuli zimezidi kuwa adimu na za masika me nipo mkuu tena ni ni mwingi kama lawama za upinzani
Mpoo...ukhuty anawauliza huku
Huku ukhuty kaja kutuonesha profile mpya leoMpoo...ukhuty anawauliza huku
Upinzani umefikaje hapa kwenye jukwaa pendwa sasaMvua za vuli zimezidi kuwa adimu na za masika me nipo mkuu tena ni ni mwingi kama lawama za upinzani
Leo ni alhamisiHuku ukhuty kaja kutuonesha profile mpya leo
Mpoo nyie pipo, mnatafutwa na mrembo huku
Alhamisi wakongo wanaiita siku ya inne hahahaaLeo ni alhamisi
Ukija kunichukua stand uambatane nao hata wawili me nitajiongeza kiume nitachagua kimya kimyaMwangu moyoni natamani kusikia umempata wa ubavu wako, usijali mwaya tutatafuta wote ukija
Sasa jukwaa litanogaje bila ya upinzani kidogo stori hapa na pale hvyoo yaaniUpinzani umefikaje hapa kwenye jukwaa pendwa sasa
Hahahaaaa Nimejikuta nacheka kama mazuri vileAlhamisi wakongo wanaiita siku ya inne hahahaa
Kimya kingi kina mshindo mkuuUkija kunichukua stand uambatane nao hata wawili me nitajiongeza kiume nitachagua kimya kimya
Yaani wewe ni mchocheziSasa jukwaa litanogaje bila ya upinzani kidogo stori hapa na pale hvyoo yaani
Mchochezi wa kuni kule kijijini kwetu ndio maana bibi alikuwa ananipenda hata kuni ziwe mbichi nahakikisha zinawaka kama kavuYaani wewe ni mchochezi