Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kavu ni hatari kwa afya, mie nalala kesho niwahi majukumu. Muwe na usiku tulivu woote, ukimuona toxic9 mwambie nammiss, muage dem boy, Namge, Kituko, Mamaafacebook, Aisha, Ukhuty, ink, black women, jmgaya, Zz na wengine nlowasahau. Mlale salamaa woteeMchochezi wa kuni kule kijijini kwetu ndio maana bibi alikuwa ananipenda hata kuni ziwe mbichi nahakikisha zinawaka kama kavu