johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
Wewe nae unatembea humu jukwaani hatari kila chaka Blaki Womani kapitaMtu gani zaidi yangu acha matisho wewe
Wewe nae unatembea humu jukwaani hatari kila chaka Blaki Womani kapitaMtu gani zaidi yangu acha matisho wewe
Kaskazini wataisoma namba hadi kuziandika kwa kichinaKali sana kama za yule mbunge wa kaskazini
Hajambo sana ananiharakisha nahamie kitandani niachane na simu sasaUmpendaye naimani hajambo
Milango unafunga na komeo la mbaoKesho ni ijumaa, naenda lala mdogo wangu gbefa, nilikuwa nafunga milango
Kapita pande hizi ameharibu haswa bora abaki kipande.kileWewe nae unatembea humu jukwaani hatari kila chaka Blaki Womani kapita
Wambuzi hata siujui labda utueleze unachezwajeKichina Blaki Womani na wenzako ndiyo mchezo mnaoucheza tofauti na ule alioanzisha Wambuzi
Mtu gani zaidi yangu acha matisho wewe
Kazi kwelikweli..basi hongera yako kama michepuko sio deal
Magufuli anazid kutunyoosha tu kila sikuZa asubuh wana was magufuli
Magufuli anazid kutunyoosha tu kila siku
Tu wazima humu?Kila siku linazidi kuvurunda tu.
MTU kutoka kwa munguKila siku linazidi kuvurunda tu.
Mungu ni wetu soteMTU kutoka kwa mungu