Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,056
hofu lazima iwepo sababu wameshaanza kumkamata mamvi kisaa anafanya kampeniChakula Mamvi kasema atawagawia,msiwe na hofu.
hofu lazima iwepo sababu wameshaanza kumkamata mamvi kisaa anafanya kampeniChakula Mamvi kasema atawagawia,msiwe na hofu.
Kampeni zimepigwa marufuku mpaka 2020hofu lazima iwepo sababu wameshaanza kumkamata mamvi kisaa anafanya kampeni
Tena na huyu jecha mmmmh!! Labda asiwepo2020 usifanye kosa tena
Kuchomwa sindano ya Chanjo ni muhimu kwa mtoto
Changu ni aina ya Samaki hupatikana TangaKabisa nataka changu
Tanga chumbageni ndipo nilipozaliwaChangu ni aina ya Samaki hupatikana Tanga
Nilipozaliwa nilikuwa kibonge hatari.. Sidhani Kama Aisha wangu angenipendaTanga chumbageni ndipo nilipozaliwa
Kwako sipajui dada sakayoKwenu vipi jamani, nipo safi mdogo wangu gbefa hofu kwako
Angenipenda yule bwana ningekuwa first ladyNilipozaliwa nilikuwa kibonge hatari.. Sidhani Kama Aisha wangu angenipenda

First Lady wote wa East Africa kwa sasa majina yao wote ni Janeth..Angenipenda yule bwana ningekuwa first lady![]()
Janeth Jpm huyu wa tz au yupi namgeFirst Lady wote wa East Africa kwa sasa majina yao wote ni Janeth..
Changu ni aina ya Samaki hupatikana Tanga
Huko sijawah fikaTanga raha, mji nzuri, watu wazuri na nina bahati ya kuwa na Shemeji huko
Ngumu kumeza bora kutemaFika au kufika?, madame Aishah2016 swahili yako iko ngumu
Ngumu kumeza bora kutema