Antibodies tena
Antibodies lugha hizi zitatutoa meno
Kahawia ni rangi ya Kahawa iliyoivaMeno yenyewe yalishapigwa na magadi na yamekuwa ya kahawia
Kahawia ni rangi ya Kahawa iliyoiva
Kuchomwa sindano ya Chanjo ni muhimu kwa mtotoIliyoiva mtini au kwa kuchomwa?
Mtoto anayeshabikia ccm atakuwa na upungifu wa akiliKuchomwa sindano ya Chanjo ni muhimu kwa mtoto
Akili nyeupe,roho nyeupe na nywele nyeupe.Mtoto anayeshabikia ccm atakuwa na upungifu wa akili
Nyele nyeupe ndo mdudu gani dume surualiAkili nyeupe,roho nyeupe na nyele nyeupe.
Rafiki mie pia nimekumiss ,unafichwa sana jamaniKwako nimekumiss rafiki
Kipindi hiki mnatakiwa mkeshe na kuniomba DUME SURUALI,niwapatie chakula.dume suruali wako wengi sana kipindi hiki
Dume suruali ni sukari ya warembo.Nyele nyeupe ndo mdudu gani dume suruali
warembo wengi siku hizi hawapendi dume surualii..Dume suruali ni sukari ya warembo.
chakula chenyewe siku hizi hamna , ukame umezidi utapata wapi chakulaKipindi hiki mnatakiwa mkeshe na kuniomba DUME SURUALI,niwapatie chakula.
Chakula Mamvi kasema atawagawia,msiwe na hofu.chakula chenyewe siku hizi hamna , ukame umezidi utapata wapi chakula