Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Sana upambane na hali yako, nunua majaketi, blankets kukabiliana na hali ya baridi
Baridi pamoja na usumbufu wake, lakini saa nyingine ina raha yake
Sana upambane na hali yako, nunua majaketi, blankets kukabiliana na hali ya baridi
Wako mke anaendeleaje jamani, miss her sanaBaadae nitakufundisha namna ya kumjali mume wako
Friends n plural ya friend mwambieni namisimoSupermarket karudi Denmark tayari alikaa hapa tz muda mfupi sana uwa anachungulia humu akipata nafasi.. Good morning friends
Kuchukua usisahau kunigaia namsemea supermerket member wa jfSupermarket??? Yan umefanya nitamani daily milk chocolate mda huu... Maana nikiingia supermarket ndo cha kwanza kuchukua
Hata niwe na hasira vipi nikiwa Jf tabasamu mubashasha kutoka moyoniJf haiboi hata
All people are equal.. Big No to racism
Ukichaa mwingine ni wa kujitakiaRacism ni aina fulani ya ukichaa
Kujitakia shida kubwa hapa nchini we mjaribu asiyejaribiwaUkichaa mwingine ni wa kujitakia
Kujitakia nini mpendwa, upo enhee.. Basi mungu ashukuriwe nakuona upo na afya njema..Ukichaa mwingine ni wa kujitakia
Inauma nini sasa, kuwa na damu safi?Damu yangu ni +HIV jamani inauma
Damu safi -hiv vipi mkuuInauma nini sasa, kuwa na damu safi?
Kwenu vipi jamani, nipo safi mdogo wangu gbefa hofu kwakoKujitakia nini mpendwa, upo enhee.. Basi mungu ashukuriwe nakuona upo na afya njema..
Wakuu asubuhi njema kwenu...
Damu safi -hiv vipi mkuu
Antibodies tenaMkuu kwani huwa kinapimwa nini? Ni wadudu au uongezeko wa antibodies?
Kwako nimekumiss rafikiKwenu vipi jamani, nipo safi mdogo wangu gbefa hofu kwako