Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Maficho hayafai jitokeze tukuoneKushiba kwa kutumia maneno tu wakati huku watu tunatoka jasho hadi za sehemu ya maficho
Maficho hayafai jitokeze tukuoneKushiba kwa kutumia maneno tu wakati huku watu tunatoka jasho hadi za sehemu ya maficho
Tukuone kama unameza kuwa mshindiMaficho hayafai jitokeze tukuone
Tukuone unavyojisifiaga ooh me mzuri me sitaki kuolewa mwenyewe tu me nalipa,, acha maneno mengi kama unatufunza political science hapa njoo tukuone wewe dada tukivutiwa bhasi tuoe hakuna kuuziana mbuzi kwenye gunia hapaMaficho hayafai jitokeze tukuone
Kazi tu,hakuna kupumzikaHapa kazi tu
Hapa kazi tu ni msemo wa mazoea kwa wa bongo, morning jfKupumzika kwenu hapa kazi tuu
Jf raha Sana hapa ndo mwisho wa stressHapa kazi tu ni msemo wa mazoea kwa wa bongo, morning jf
Stress ni neno la kingereza lenye maana sawa na msongo Wa mawazo ktk kiswahili.Jf raha Sana hapa ndo mwisho wa stress
Kiswahili ni lugha ya Afrika mashariki.Stress ni neno la kingereza lenye maana sawa na msongo Wa mawazo ktk kiswahili.
Kiswahili kitumike kutoa hotuba na viongoz wa nchi sio 40% ya hotuba kutolewa kilugha wakat km nchi tu na unganishwa na lugha mojaStress ni neno la kingereza lenye maana sawa na msongo Wa mawazo ktk kiswahili.
Moja ya vitu vinavyonikera ni watu mil 50+ kutumia lugha ya mkoloni wakati Iceland watu laki 250 wanatumia lugha yao ktk kila nyanyaKiswahili kitumike kutoa hotuba na viongoz wa nchi sio 40% ya hotuba kutolewa kilugha wakat km nchi tu na unganishwa na lugha moja
Moja ya vitu vinavyonikera ni watu mil 50+ kutumia lugha ya mkoloni wakati Iceland watu laki 250 wanatumia lugha yao ktk kila nyanya
Chenga ya ulimi,kiswahili sio mchezoNyanya??? Au Nyanja wewe mwenyewe lugha yako ya Kiswahili inakupiga chenga
Mchezo wa man uninted vs Liverpool lilikua game ngumu sana pacha, goodmorningChenga ya ulimi,kiswahili sio mchezo
Good morning woteMchezo wa man uninted vs Liverpool lilikua game ngumu sana pacha, goodmorning
Wote hi\lpl0pp000p0\laa0lalalp0l0pppllppppppppl0pppp0pppp000000aaa00PGood morning wote
Mr. Fan





Wote humu ndani jamani wazimaa, miss nyie saana.Good morning wote
Mr. Fan
Njema kwetu sote, niambie shemejiWote humu ndani jamani wazimaa, miss nyie saana.
Toxic9 jamani sio kwa ukimya huo, gbefa piga hesabu, namge mambo, demboy habari za wewe na wengine wooote jumatatu njema