gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Wangu hiyo ni bingo dah ahsante sana mkuu nategemea makubwa kutoka kwakoMkuu kwa kuwa umetia jitihada kubwa sana kuniletea njiwa sakayo mkononi ila nimekata tamaa, nitakachofanya nitakupa mdogo wangu