Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Ovyo ovyo tu bila mpangilio anajibu utafikiri mvuviMaswali lukuki ndo yanaosababishwa watu wajibiwe ovyo
Ovyo ovyo tu bila mpangilio anajibu utafikiri mvuviMaswali lukuki ndo yanaosababishwa watu wajibiwe ovyo
Mvuvi hawez kuwa yeyeOvyo ovyo tu bila mpangilio anajibu utafikiri mvuvi
Yeye ni nafsi ya tatu umoja, mwana mke/mmeMvuvi hawez kuwa yeye
Mwana mke/mume nani ni chanzo cha familia?Yeye ni nafsi ya tatu umoja, mwana mke/mme
Mkewe ana busara kumshinda yeyeMme ameagizwa ampende mkewe
Yeye hana hasira kuliko jirani yakeMkewe ana busara kumshinda yeye
Yake yanamshindaYeye hana hasira kuliko jirani yake
Yanamshinda na hataki kushirikisha wazee hajui kama ukubwa dawaYake yanamshinda
Dawa kwa wenye Iman ila kama haamin maneno ya wenzie basi twafwaaaaYanamshinda na hataki kushirikisha wazee hajui kama ukubwa dawa
Twafaa huku mungu tunaomba mvua hadi dunia ishangaeDawa kwa wenye Iman ila kama haamin maneno ya wenzie basi twafwaaaa
Ishangae ni nini kimetokea hiki, mvu njoo manyunyu usijeTwafaa huku mungu tunaomba mvua hadi dunia ishangae
Usije uje poa tu naona ulidoji leo mkeo amekufungulia shemIshangae ni nini kimetokea hiki, mvu njoo manyunyu usije

Usije sema sijaingia humu leo pacha habari zenu wajamaa naona j2 imebambaIshangae ni nini kimetokea hiki, mvu njoo manyunyu usije
kama ulayaZote kuntu.... Wazima woteYanatawala kwa njia zote
Wote wamekuwa nusu marehemu nimebaki Mimi mkuuZote kuntu.... Wazima wote
Mkuu mimi najitambua siwezi kupelekeshwa na wanasiasa, ukiwa mjinga utaendelea kuwasifia wanaume wenzako mtandaoni ilhali wao wanaendelea kushibaWote wamekuwa nusu marehemu nimebaki Mimi mkuu
Kushiba kwa kutumia maneno tu wakati huku watu tunatoka jasho hadi za sehemu ya mafichoMkuu mimi najitambua siwezi kupelekeshwa na wanasiasa, ukiwa mjinga utaendelea kuwasifia wanaume wenzako mtandaoni ilhali wao wanaendelea kushiba