Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Am blessed too yaani umepiga chini juhudi zetu zote dah Ila nduguyo usinibanie tu... Hakuna dhambi inayoumiza kama dhambi ya usaliti, umetusaliti mkuu
Mkuu kwa kuwa umetia jitihada kubwa sana kuniletea njiwa sakayo mkononi ila nimekata tamaa, nitakachofanya nitakupa mdogo wangu
 
Utarudi lini mhmh nikishindwa kupata sasa hivi ndio bhasi tena, nakuka vizuri, nalala pazuri sina mawazo siumwi.. Kha! Sasa kwanini hauji dah au itakuwa kwa sababu sina wifiyo ndio maana
Maana wewe unakula hivyo hunoni nukyela ufuna au
 
Back
Top Bottom