Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Humuwezi kwa sababu ana msimamo mkaliSakayo ni mwingi wa chuku humuwezi
Humuwezi kwa sababu ana msimamo mkaliSakayo ni mwingi wa chuku humuwezi
Wangu me sitaki ugomvi ngoja nife kijerumani na tai shingoni, siri siriniAnavyo fanya nini lakinii mdogo wangu
Sirini ni moyoni kwingine hakufichwi kitu.Wangu me sitaki ugomvi ngoja nife kijerumani na tai shingoni, siri sirini
Sirini wapi jamani, niambie taratibu tu wasisikieWangu me sitaki ugomvi ngoja nife kijerumani na tai shingoni, siri sirini
Wasisikie wakati wanasikiliza, basi sogea huku nikunong'onezeSirini wapi jamani, niambie taratibu tu wasisikie
Kupumzika kwa akili kunaufanya mwili Ku maintain kiafya good sakayoSakayo alilala kidogo jamani, akili nayo yapaswa Kupumzika
Wasikie hawa wee masikio yenyewe kama tembo utaniponzaSirini wapi jamani, niambie taratibu tu wasisikie
Utaniponza wewe apo kwa ubishi wakoWasikie hawa wee masikio yenyewe kama tembo utaniponza
Sakayo niko machoooKupumzika kwa akili kunaufanya mwili Ku maintain kiafya good sakayo
Niko machoo hata mimi lakini sitaki kupitwa na mpira so nitaacha kwa muda hadi game iisheSakayo niko machooo
Wako katika ujenzi wa taifa gbefa gbefaUtaniponza wewe apo kwa ubishi wako
Taifa lmekarbia kukosa mwelekeo..gbefa twakushukuru kwa ujenzi wako wa hali na mali katika taifa letu hili. Endelea kulijenga Taifa
Mwelekeo wa maisha umekuwa randomly kila kitu kimekaa kinyumeTaifa lmekarbia kukosa mwelekeo..
Kinyume na tulivyotegemeaMwelekeo wa maisha umekuwa randomly kila kitu kimekaa kinyume
Tulivyotegemea ni tofauti na uhalisia wa maishaKinyume na tulivyotegemea
Maisha yenyewe haya bwana hayasomeki, yaani kipato hakikidhi mahitajiTulivyotegemea ni tofauti na uhalisia wa maisha
Mahitaji makubwa sana tujitahidi kubana matumizi kama serikali yetuMaisha yenyewe haya bwana hayasomeki, yaani kipato hakikidhi mahitaji
Yetu macho kwani hatujui anakotupeleka zaidi ya matamko ya kuvunja moyo mwafaaaMahitaji makubwa sana tujitahidi kubana matumizi kama serikali yetu
Yetu mapato yanaishia kwenye kula tuu huwezi fanya jambo la maendeleo kwa kipato cha mweziMahitaji makubwa sana tujitahidi kubana matumizi kama serikali yetu