Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

312882c921c3e41a35a387adfe4bcd75.jpg
umesahau kunikaribisha pacha karibu wewe sasa mwite gbefa,sakayo km bado yupo nyumbani,blaki womani sijui yuko wapi saa hizi,Aisha,mama fb najua hali hivi vya kimaskini,karibuni wote
Wote tumekaribia pacha, ila sitashiba pacha
 
Wako imekuwaje mbona unamficha mdogo wako unataka mdogo wangu ndiyo nimpe gbefa basi akitaka nitampa, ila hujakosea kabila letu wakina manka wanataka mtu anayejituma kutafuta pesa
Kutafuta pesa sio tatizo tatizo kukosea kuoa hapa ndio kuna ubaya, kumbe wewe ni chaga wakina Manka dah hii safi sana na wachaga mlivyobarikiwa mnatoaga vitu adimu aaah hii chance siachi kamwe mkuu naomba basi niwe shemejiyo na sakayo apate wifi yake maana nimeangaika muda mrefu kweli
 
Kweli mdogo wangu kamatia hapo hapo tuunganishe familia
 
Back
Top Bottom