Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,745
- 51,214
Sabini haitoshi inabidi iwe miaLa sabini sio ni mara sabini
Sabini haitoshi inabidi iwe miaLa sabini sio ni mara sabini
Mia nne tisini ndo kiwango cha chini cha kusameheSabini haitoshi inabidi iwe mia
Kusamehe pia ni kipaji ohh acha tuMia nne tisini ndo kiwango cha chini cha kusamehe
Acha tu kusamehe yataka moyoKusamehe pia ni kipaji ohh acha tu
Acha tu,walimwengu ukiwasamehe wanakuona boya ukiwakaushia wanakuona m bayaKusamehe pia ni kipaji ohh acha tu
Moyo wako una kipaji cha kusamehe kama moyo wanguAcha tu kusamehe yataka moyo
Viboko pacha vya niniUtawafanyaje zaidi ya viboko
Viboko pacha vya nini
Vya nini?wa kumuuliza Aisha,pachaViboko pacha vya nini
Pacha nimeshanga, kuna viboko tena kwenye jukwaa letu pendwaVya nini?wa kumuuliza Aisha,pacha
Pendwa kweli kweli lkn ili kuepuka viboko vya Aisha usiniudhi pachaPacha nimeshanga, kuna viboko tena kwenye jukwaa letu pendwa
Pacha siwezi kukuudhi banah, nimemiss sakayoPendwa kweli kweli lkn ili kuepuka viboko vya Aisha usiniudhi pacha
Sakayo saa hizi sijui kapigiwa simu?wikend hii pacha umesahau!!!Pacha siwezi kukuudhi banah, nimemiss sakayo
Sakayo ni mwingi wa chuku humuweziPacha siwezi kukuudhi banah, nimemiss sakayo
Umesahau kunikumbusha mapema pacha, Weekend kweli, naibiwa hivi hivi ukimuona huko pacha msalimie sakayo mwambie arudi fastaSakayo saa hizi sijui kapigiwa simu?wikend hii pacha umesahau!!!
Humewezi Aishah2016 ehh Namge mimi sakayo nitamweza tu, huwa sikatagi tamaa, sakayo atakuja nielewa tu, mapenzi na mkata tamaa haviendaniSakayo ni mwingi wa chuku humuwezi
Wote hatutoshiba... Hehehe nlivoona hii sahani nliingia chapchapumesahau kunikaribisha pacha karibu wewe sasa mwite gbefa,sakayo km bado yupo nyumbani,blaki womani sijui yuko wapi saa hizi,Aisha,mama fb najua hali hivi vya kimaskini,karibuni wote![]()
Fasta atarudi pacha labda nisikutane nae tu kitawaka huko,utanikuta seloUmesahau kunikumbusha mapema pacha, Weekend kweli, naibiwa hivi hivi ukimuona huko pacha msalimie sakayo mwambie arudi fasta