Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,488
Sasa mie napenda kitambaa cheupe na nyimbo za TX Mosha zanikosha saaanaMziki upi unataka zilizopendwa , zilizovuma au kizazi kipya, haya sema sasa
Sasa mie napenda kitambaa cheupe na nyimbo za TX Mosha zanikosha saaanaMziki upi unataka zilizopendwa , zilizovuma au kizazi kipya, haya sema sasa
Mziki mzuri upo kitandani tu wakati wa kukunjana pale bisha[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Maneno, acha maneno weka mziki
Sakayo anasemwa sana jamani, sio kwa mazuri au mabaya yote yangu nabadili [emoji723] sasa hiviNa heshima zao haswaa kina sakayo
Bisha kijana kwamba mambo ya kitandani unayapenda sanaMziki mzuri upo kitandani tu wakati wa kukunjana pale bisha[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Sawa pacha hahahahaWomani anayependa kujichubua huwa siwakubali kabisa pacha,
Ila mtoto kama sakayo ni mrembo yani anatosha siongezi mwingine, ukimuona sakayo mkuu lazima mate yakutoke ila usimtamani mke wa mwenzako sawa pacha
Sasa hivi simu yangu inazima chajiSakayo anasemwa sana jamani, sio kwa mazuri au mabaya yote yangu nabadili [emoji723] sasa hivi
Hahahaha mimi sipendi kabosa kuwa wa mwisho kwenye mchezo huuSawa pacha hahahaha
Pacha wako ana wakati mgumu sanaWomani anayependa kujichubua huwa siwakubali kabisa pacha,
Ila mtoto kama sakayo ni mrembo yani anatosha siongezi mwingine, ukimuona sakayo mkuu lazima mate yakutoke ila usimtamani mke wa mwenzako sawa pacha
Hivi unabadili kweli [emoji723] basi usisahu kuniambia new [emoji723]Sakayo anasemwa sana jamani, sio kwa mazuri au mabaya yote yangu nabadili [emoji723] sasa hivi
Sana sana sina experience nayo mkuu nature yangu napenda mpira wa miguu wa kucheza mwenyewe sio kutizama watu, kwenye ilo Mimi sipo muulize hata sakayoBisha kijana kwamba mambo ya kitandani unayapenda sana
Chura zimefanya watu asili tusithaminikeMali asili hapatikani kwenye jamii siku hizi mtu mweupe na ana chura
Sana, ya nini kumtamani mke wa mwenzio wakati wapo wengi wasio na waume!Pacha wako ana wakati mgumu sana
Hahaha [emoji23] [emoji23]Sawa pacha hahahaha
Tusithaminike kwa sababu hamzitingishi hizo mlizonazoChura zimefanya watu asili tusithaminike
Hahahahahaha, nawe unakubali Kirahisi hivyo hivyoSawa pacha hahahaha
Tusithaminike wakina nani tena hao, mbona wewe chura og unayo sakayoChura zimefanya watu asili tusithaminike
Chaji fasta urudi kundini mkuuSasa hivi simu yangu inazima chaji
New ID itakuwa siri yanguHivi unabadili kweli [emoji723] basi usisahu kuniambia new [emoji723]
Sana yaniPacha wako ana wakati mgumu sana