Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Damu nzito kuliko mbege
Mbege unapoitaja kwa wengine mate yanawajaa mdomoni
Damu nzito kuliko mbege
Kitandani kuna kutoshelezwa?Anakusaliti kwa sababu umtoshelezi kitandani
Mkuu upo kumbe!?Kituko kweli kama utafanya utumdu wa kitoto, fanya wa kikubwa mkuu
Watoto wana nafasi yao katika familia
Mbege ya wachaga!?Damu nzito kuliko mbege
Panadol kwa maumivu mbalimbali na si kwa kichwa tuMseto pekeyake bila Panadol?
Kutoshelezwa kupo mkuu kwani huajui swala ili ni LA muhimu sana katika maisha ya binadamuKitandani kuna kutoshelezwa?
Tu ombe apone hilo gonjwa linalomsumbuaPanadol kwa maumivu mbalimbali na si kwa kichwa tu
Linalomsumbua stacia ni la wakubwa tuTu ombe apone hilo gonjwa linalomsumbua
Wawili ndio safi mkuuFamilia ya mzazi mmoja ama wote wawili?
Wawili ndio safi mkuu
Jamani basi naomba hiyo nafasi kama vipi tuanze maisha ya kikubwa maana hata Mimi sijawai nasikiaga tuKweli jamani
Mamaafacebookll sijamuona leo,....usiku mwema na wewe kitukoMkuu hata mimi nalikubali na kuliheshimu hilo, usiku mwema wewe pamoja na mamaafacebook II
Wakubwa tu? Jamani bbc hata watoto mi nawapendaLinalomsumbua stacia ni la wakubwa tu
Mamaafacebookll sijamuona leo,....usiku mwema na wewe kituko
Mwisho bado haujafika mkuu,we lala subiri kesho utaona ushindi nachukua mimiKituko ni pale mnaponinyima ushindi wangu, mimi ndio wa mwisho
Mimi naamini hakuna wa kushinda kwa sasa mchezo wenyewe hauna "time limit" yaani tutacheza hata miaka kadhaa huko mbele!Mwisho bado haujafika mkuu,we lala subiri kesho utaona ushindi nachukua mimi