Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Test ya leo kawaida tu haitaji kujiandaa kama unahama nchi inshu ipo jumatatu, hesabu ugonjwa wa taifa wadau naichukia kinoma ila sina namna kwa kweli
Kweli unatudanganya, jana ulijificha unasoma tu tokea asubuhi umekuja kuonekana usiku wa saa sita sahvi unajifanya test ya leo haitaji kujiandaa mdogo wangu, vyepesi ndiyo vina felisha
 
Kweli unatudanganya, jana ulijificha unasoma tu tokea asubuhi umekuja kuonekana uaiku wa saa sita sahvi unajifanya test ya leo haitaji kujiandaa mdogo wangu, vyepesi ndiyo vina felisha
Vinaferisha kivipi wakati nilishajipanga tangu last night ng'ombe ananenepi siku ya mnada kaka, leo nikisoma nitapanick najijua nilivyo sina wasi wasi
 
Back
Top Bottom