Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Dogo anapambana kufa kupona, simu nimetoa betri halafu nikampa, atakuja baadae kidogoMwaya hivi gbefa umempokonya simu?? Basi umefanya jambo muhimu sana acha asome dogo
Dogo anapambana kufa kupona, simu nimetoa betri halafu nikampa, atakuja baadae kidogoMwaya hivi gbefa umempokonya simu?? Basi umefanya jambo muhimu sana acha asome dogo
50 mtanyang'anywa kazi 50 watapewa kazi! Maisha fifty fifty![]()
![]()
yani umeongea simple lakini very logical, natamani ningekupa likes 50
Simu ndo nilikuwa natumia videoorder lakini ikafika mahali ikagoma kabisaMoja kwa moja kivipi mkuu ikiwa mimi ndo ninayo itumia hyo? enewei jaribu tube mate pia inafaa kwa simu
5000Tigopesa muamala najaribu kutuma unagoma, ngoja nitajaribu kadri niwezavyoLikes 50 zote za nini mkuu labda unitume 5000 tigopesa![]()
![]()
![]()
Kadri niwezavyo na mimi nazidi kukuombea muamala ukae sawa5000Tigopesa muamala najaribu kutuma unagoma, ngoja nitajaribu kadri niwezavyo

Kugoma kabisa inatokeaga hasa hasa kama developer akishindwa kuaupdate app yake wakati huo huo wenzie pia wanacreate kila siku vitu vizuriSimu ndo nilikuwa natumia videoorder lakini ikafika mahali ikagoma kabisa
Niwezavyo imeshindikana,hebu jaribu kwa mpesa yangu tuone5000Tigopesa muamala najaribu kutuma unagoma, ngoja nitajaribu kadri niwezavyo
Tuone huu mwaka uchumi wa watanzania utakuaje, maana mwaka uliopita watu walikua wanalia njaa kweli.Niwezavyo imeshindikana,hebu jaribu kwa mpesa yangu tuone
Fifty-fifty wanawake wananitafuta hii, najua mashirika ya haki za binadamu zinawasaidia ila wasizidishe percent50 mtanyang'anywa kazi 50 watapewa kazi! Maisha fifty fifty
Mwendo kasi zina tija kwa kiasi chake kupunguza foleniKidogo kidogo ndo mwendo
Kabisa hebu jaribu to unstall and reinstallSimu ndo nilikuwa natumia videoorder lakini ikafika mahali ikagoma kabisa
Sawa endelea tu kusubiri mkuuKadri niwezavyo na mimi nazidi kukuombea muamala ukae sawa![]()
![]()
Vizuri vyote tule na majirani jamaniKugoma kabisa inatokeaga hasa hasa kama developer akishindwa kuaupdate app yake wakati huo huo wenzie pia wanacreate kila siku vitu vizuri
Vizuri vyote tule na majirani jamaniKugoma kabisa inatokeaga hasa hasa kama developer akishindwa kuaupdate app yake wakati huo huo wenzie pia wanacreate kila siku vitu vizuri
Tuone kama January hii mvua itanyeshaNiwezavyo imeshindikana,hebu jaribu kwa mpesa yangu tuone
Kweli life imebadilika sana, tumenyoka mkuuTuone huu mwaka uchumi wa watanzania utakuaje, maana mwaka uliopita watu walikua wanalia njaa kweli.
Mkuu kunyooka lazimaKweli life imebadilika sana, tumenyoka mkuu
Lazima tena magu atatumia hata viboko mradi tunyooke tuMkuu kunyooka lazima
Lazima tujishughulishe na ujasiriamali mbali mbali ili tujikwamue, la sivyo tutazidi kuisoma namba!!Mkuu kunyooka lazima