Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,792
- 51,364
Umezitumiaje na wewe, au umesaidiwa![]()
![]()
![]()
![]()
hizo emoji umezitumiaje
Umezitumiaje na wewe, au umesaidiwa![]()
![]()
![]()
![]()
hizo emoji umezitumiaje
TASAF Mbna anataka wazazi wetu wafe njaa mjini hapaTena mheshimiwa magufuli amesima shinyanga sahivi pale anatoa hotuba katika mkutano wa hadhara, kuna kitu amenifurahisha na hizo kaya hewa na anataka kufuta mpango wa TASAF
Playstore sijaiona hata na mm ila isachi kwenye browser yyte andika videoorder apk itakuja mkuu Jifunze hatua kwa hatua; Namna ya kushusha video za Youtube bureVideo oder sijawahi itumia, hebu attach icon yake muonekano maana playstore sijaiona
Kwako?? Kama una kwako tuonyeshe ufunguo.Shida yako au ya kwako?
Ufungua sio kithibisho siku hizi hata vyoo vina funguoKwako?? Kama una kwako tuonyeshe ufunguo.
Ufungo juu kama shoro mwambaUfungua sio kithibisho siku hizi hata vyoo vina funguo

Hilo nalo neno,.. Ndo maana zinaning'inizwa mkononi haziwekwi mfukoniFunguo za gari lakin huwa tofauti na za milango ya majumbani msisahau hilo
Mwamba Tanzania hii upo mmoja tu,mwamba wa kaskazin Joh makin mkali wa mistari kaka yake Niki wa pili,yule mshkaji alieimba baba salehe akishirikiana na g nako alieimba arostoUfungo juu kama shoro mwamba![]()
![]()
![]()
![]()
Mfukoni napo siku hizi nako kuna kaz nying,walet,simu,sigara,funguo daaah kwel aliebuni mifuko ya nguo alifikiria sanaHilo nalo neno,.. Ndo maana zinaning'inizwa mkononi haziwekwi mfukoni
Mkuu hiyo app ya videoorder ilikuwa inafanya kazi kitambo kidogo, saivi haipakui tena video kama YouTube inavyogoma nafikiri walifungia kupakua video moja kwa mojaPlaystore sijaiona hata na mm ila isachi kwenye browser yyte andika videoorder apk itakuja mkuu Jifunze hatua kwa hatua; Namna ya kushusha video za Youtube bure
Kila kukicha heri ya janaTaifa hili si lile aliloliacha, nahisi huko alipo anasikitika kila kukikucha
Maendeleo huletwa na sisi wenyeweTaifa lenye amani na mshikamano hapakosi maendeleo
Vilee wanajisahau kwamba unatakiwa kufanya maendeleo pale ulipowenyewe wa hapa ni wazawa wa dar, wazaramo but kama hawapo vilee