Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Ngapi naweza kupata kwa bei ya jumlaUlisoma hadi page ya ngapi??
Ngapi naweza kupata kwa bei ya jumlaUlisoma hadi page ya ngapi??
Usumbufu wa nini mkuuNgapi ambayo kila mmoja atakuwa anaweza kutoa bila usumbufu
Jumla ni bora kuliko rejarejaNgapi naweza kupata kwa bei ya jumla
Wapya wapo lakini hawapati nafasiWalewale yani dada angu sakayo, tunataka viongozi wapya
Ukabila ulipigwa vita na muheshimiwa sana baba wa taifaBora wale wazamani maana huyu mpya hata muungano kaukimbia kisa ukabila
Hatari zaidi ni pale anapata kwashakoUsumbufu ni pale mtoto anapo goma kula jamani acha tu dada angu sakayo hatari
Mbovu hazitumikiYako simu itakuwa mbovu
Eehh hicho kipindi wala sijakiona kipo channel ganiNgazi kwa ngazi kipindi cha salama ehh
Sote tukikutana tutafanya bonge la patiYenu ama yetu sote
Channel gani kivipi? we si utest zote ulizonazo.!?Eehh hicho kipindi wala sijakiona kipo channel gani
Nitagombea ubonge kwa tiketi ya chama changuTunaweza kabisa mbona, mimi kwa kweli uchaguzi2020 nitagombea
Taifa hili si lile aliloliacha, nahisi huko alipo anasikitika kila kukikuchaUkabila ulipigwa vita na muheshimiwa sana baba wa taifa
Kukicha tuwe tunasaliTaifa hili si lile aliloliacha, nahisi huko alipo anasikitika kila kukikucha
Tunasali ili tupate mibarakaKukicha tuwe tunasali
Taifa lenye amani na mshikamano hapakosi maendeleoUkabila ulipigwa vita na muheshimiwa sana baba wa taifa
Ulizonazo ni chache sidhani kama yenyewe ipoChannel gani kivipi? we si utest zote ulizonazo.!?
Yenyewe ipo, haijatafutwa tu.Ulizonazo ni chache sidhani kama yenyewe ipo
Tunasali pale kwenye matatizo tu, inatupasa tuwe tunasali nyakati tofautitofautiKukicha tuwe tunasali
Maendeleo ya taifa inategemea na bajeti iliyotengwa, je bajeti ya maendeleo mwaka wa fedha huu ilitengwa shilingi ngapi vileTaifa lenye amani na mshikamano hapakosi maendeleo