atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Mamaafacebook yupo?Jf ni bomba kuliko Facebook ya mamaafacebook
Mamaafacebook yupo?Jf ni bomba kuliko Facebook ya mamaafacebook
Yupo anakuulizia daily my dear, jana kaja na hoja ya kusema ndoa yetu imeingiwa na kidudu mtu, mamaafacebook aje tu tumsemeMamaafacebook yupo?
Tumseme jpm aache kubana sana sisi wauzaji wadogo wa ngada ( king pusha ) soko letu litakuwa halipati faida kubwa kama enzi zile za jk.Yupo anakuulizia daily my dear, jana kaja na hoja ya kusema ndoa yetu imeingiwa na kidudu mtu, mamaafacebook aje tu tumseme
Tumseme? Kisa kusema hakuna njaa..?Yupo anakuulizia daily my dear, jana kaja na hoja ya kusema ndoa yetu imeingiwa na kidudu mtu, mamaafacebook aje tu tumseme
JK kafanya yake mazuri, pia magufuli anazidi kufanya mengi mazuri, magufuli hatakagi ujingaTumseme jpm aache kubana sana sisi wauzaji wadogo wa ngada ( king pusha ) soko letu litakuwa halipati faida kubwa kama enzi zile za jk.
Njaa ipo Tanzania? Hapana aisehhh kuna nchi za Kiafrika zinateseka sana na njaa, vita ehh hakuna amani nchi kama Afghanistan, somalia, Syria,Israel na Ethiopia nk, mbona sisi tunakula bata sana watanzaniaTumseme? Kisa kusema hakuna njaa..?
Rafiki wa ukweli gbefa, kupeana moyo ndo lililobaki ili tusikate tamaa ya kuyafikia mafanikioWewe tu kwa kunitia moyo haujambo ila nashukuru maana akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki
Jamani najua we Yanga mdogo wangu, tumeishangilia Sana wakati tunakuwaMatokeo ya mpira sio kama ya mtihani unasubiri weeee halafu unaweza ukafeli Ila ya mpira aah kitu hapo hapo inauma lakini me ni Yanga jamani
Mafanikio ndio nachowaza hapa natamani nikimbie chuo nikalime kwetu mbeyaRafiki wa ukweli gbefa, kupeana moyo ndo lililobaki ili tusikate tamaa ya kuyafikia mafanikio
Ujinga ni kumhonga demu iPhone 7 ya milioni 2 halafu wewe unahangaika kupata hela ya kodi ya nyumba ya tshs: laki 7.JK kafanya yake mazuri, pia magufuli anazidi kufanya mengi mazuri, magufuli hatakagi ujinga
Mbeya maisha laini ni mwendo wa kwacha mwanzo mwisho tshs tupa kuleMafanikio ndio nachowaza hapa natamani nikimbie chuo nikalime kwetu mbeya
Kule alipo Aisha na moyo wangu upoMbeya maisha laini ni mwendo wa kwacha mwanzo mwisho tshs tupa kule
Kule ndipo kuna fulsa basi kama haujui uliza uambiwe mkuu..Mbeya maisha laini ni mwendo wa kwacha mwanzo mwisho tshs tupa kule
Ujinga ni kumhonga demu iPhone 7 ya milioni 2 halafu wewe unahangaika kupata hela ya kodi ya nyumba ya tshs: laki 7.
Atubariki na kutuponya na kizazi hiki cha wanawake wa 4g mm nipo powa sana boy t9 nilikuwa nipo taiti kidogo siku mbili iziLaki 7 au millioni 2 mke wako unampa tu, ila kama sio mke basi acha mara moja, jenga familia yako na Mungu atakubariki.
Mbeya pale mdogo wangu hakuna kitu nakipenda kama mchele wa mbeya, mchele wa kyela daahhhh, yani mchele ukiweka kwenye maji tu basi wanukia nyumba nzima, hapo bado hujaweka kwenye jikoMafanikio ndio nachowaza hapa natamani nikimbie chuo nikalime kwetu mbeya
Hizi siku mbili umekuwa adimu sana sheheAtubariki na kutuponya na kizazi hiki cha wanawake wa 4g mm nipo powa sana boy t9 nilikuwa nipo taiti kidogo siku mbili izi
Upo vizuri shehe, abiria chunga mzigo wako, msalimie shemeji yangu Aishah2016Kule alipo Aisha na moyo wangu upo
Mkuu goldie ink yupo sambamba na wewe,hajakupinga,Kule ndipo kuna fulsa basi kama haujui uliza uambiwe mkuu..
MkuuKule ndipo kuna fulsa basi kama haujui uliza uambiwe mkuu..