Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,743
- 51,169
Roho!! Jamani kituko leo umemuacha nyuma mamaafacebook , kituko aje tu awe suluhu ya upweke wakoLonely me pia nipo usinirushe roho
Roho!! Jamani kituko leo umemuacha nyuma mamaafacebook , kituko aje tu awe suluhu ya upweke wakoLonely me pia nipo usinirushe roho
Wako waswas Kituko n shemeji yangu Bwana unataka kumjua Mme wangu kwani?Roho!! Jamani kituko leo umemuacha nyuma mamaafacebook , kituko aje tu awe suluhu ya upweke wako
Roho yangu inaniumaLonely me pia nipo usinirushe roho
Ukimuita sasa hivi utaharibu ndoa yake acha atomize wajibu sasa hivi kwanzaLonely nyimbo moja nzuri sana ya akon, mwite sakayo kwa sauti hata mimi nataka nimuone hapa muite tu atakuitikia maana huwa ana sense ukimuita,
Kwanza umesoma leo mdogo wangu achana na mambo ya kikubwa, maana umekuja na kasi ya light kwenye mapenzi, elimu na mapenzi ni maji na mafuta ya taaUkimuita sasa hivi utaharibu ndoa yake acha atomize wajibu sasa hivi kwanza
Taa ya bwana inaniangaza kusoma ni constant kama pie, ukiniona humu hujue sina test wala assignment tena ya hesabu,Kwanza umesoma leo mdogo wangu achana na mambo ya kikubwa, maana umekuja na kasi ya light kwenye mapenzi, elimu na mapenzi ni maji na mafuta ya taa
Inaniuma kupotea kwa supermarketRoho yangu inaniuma
Hapo umebugi Kituko n shemej yangu na Mme wangu yupoKwani kituko si shemeji yako yeye ndiyo anayekufariji mkiwa hapa
Hapa gbefa tunasema ni kijiwe cha grater thinkerTaa ya bwana inaniangaza kusoma ni constant kama pie, ukiniona humu hujue sina test wala assignment tena ya hesabu,
Mkuu kesho mapinduzi hujue shauri yako ndio maana nipo hapa
Thinker mwenye mapengo anaitamka vizuriHapa gbefa tunasema ni kijiwe cha grater thinker
Vizuri ehh hebu niambie anatamkaje thinkerThinker mwenye mapengo anaitamka vizuri
Hujanielewa Tena? Yumo humuhumu hahahahah relaxYupo mhmhhh ngoja nijifanye umenielewa ingawa hujanielewa
Vibaya sijasema kabisaKwani kumjua mmeo ni vibaya.
Kabisaaa, naamini si vibayaVibaya sijasema kabisa
Relax uwe na usiku mwemaHujanielewa Tena? Yumo humuhumu hahahahah relax
Vibaya nikiacha kumtaja but goldie ink kuja kipande hiiKabisaaa, naamini si vibaya
Hii JF bwana so mchezo, bado hujalala saa hizi wasubiri niniVibaya nikiacha kumtaja but goldie ink kuja kipande hii