goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,151
Atakubariki pia kama ukimtimizia mkeo halali na o.g ule mchezo wetu mtamu wa kuspring kitandani.Laki 7 au millioni 2 mke wako unampa tu, ila kama sio mke basi acha mara moja, jenga familia yako na Mungu atakubariki.
