Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Udhaifu wetu wa kutokuwa makini 2015 ndo inetufikisha hapa
Hapa tulipo ndiyo mahali pake, mlitaka tuwe na serikali inayobeba mtaka rushwa, na inayotumia fedha za walipa kodi hovyo?? Mlitaka tushinde usiku na mchana kuandamana kila kukicha?? tuache siasi zisizo leta tija tujenge taifa letu, changia pato la taifa GDP kwa kulipa kodi kwa kadri inavyo stahili
 
Stahili zako ndo zipi? Maana unalipa kodi afu dawa hakuna, mishahara hakuna, elimu ina dolola, majanga yanatokea unaambiwa mwafwaa. Kodi unayolipa inaenda wapi?
 
Wapi unapo fanyia kazi haulipwi mshahara mbona tuna vyombe vinavyo simamia wafanyakazi nenda TUKTA, lete takwimu kuonyesha elimu ina dolola tusionge kufurahisha genge kwa ufupi takwimu zinaonyesha wanafunzi wasio juwa kuandika na kusoma imepungua tena kwa asilimia kubwa ukilinganisha na awali, majanga yametokea bukoba serikali ilisaidia inapoweza ilitoa mabati, cements kwa wananchi nk, haiwezi kumjengea nyumba kila mtu, pia imejenga hospitali zilizo pata mushkeli na kuongeza nyingine mkoani bukoba, pia miundombinu iliyopata majanga wameweka sawa, shule pia zimejengwa zaidi mkoani Bukoba kwa wahanga, vyakula walipewa wahanga nk serikali kwa kweli inafanya yale inayoweza kufanya, tuacheni kulalamika
 
Wapi unapo fanyia kazi haulipwi mshahara mbona tuna vyombe vinavyo simamia wafanyakazi nenda TUKTA, lete takwimu kuonyesha elimu ina dolola tusionge kufurahisha genge kwa ufupi takwimu zinaonyesha wanafunzi wasio juwa kuandika na kusoma imepungua tena kwa asilimia kubwa ukilinganisha na awali, majanga yametokea bukoba serikali ilisaidia inapoweza ilitoa mabati, cements kwa wananchi nk, haiwezi kumjengea nyumba kila mtu, pia imejenga hospitali zilizo pata mushkeli na kuongeza nyingine mkoani bukoba, pia miundombinu iliyopata majanga wameka sawa, shule pia zimejengwa zaidi mkoani Bukoba kwa wahanga, vyakula walipewa wahanga nk serikali kwa kweli inafanya yale inayoweza kufanya, tuacheni kulalamika
Kulalamika sio vizuri, tumshukuru Mungu kwa tupofikia. Habarini ndugu zangu
 
Wapi unapo fanyia kazi haulipwi mshahara mbona tuna vyombe vinavyo simamia wafanyakazi nenda TUKTA, lete takwimu kuonyesha elimu ina dolola tusionge kufurahisha genge kwa ufupi takwimu zinaonyesha wanafunzi wasio juwa kuandika na kusoma imepungua tena kwa asilimia kubwa ukilinganisha na awali, majanga yametokea bukoba serikali ilisaidia inapoweza ilitoa mabati, cements kwa wananchi nk, haiwezi kumjengea nyumba kila mtu, pia imejenga hospitali zilizo pata mushkeli na kuongeza nyingine mkoani bukoba, pia miundombinu iliyopata majanga wameka sawa, shule pia zimejengwa zaidi mkoani Bukoba kwa wahanga, vyakula walipewa wahanga nk serikali kwa kweli inafanya yale inayoweza kufanya, tuacheni kulalamika
Kulalamika lalamika imekua kama jadi yetu,,hatutafuti njia mdabala ya kutatua matatizo tunaishia kulaumu kama tumelogwa
 
Back
Top Bottom