Wa mwisho ndiyo mshindi

Mungu hapendi tutaabike Ila amemruhusu shetani atujaribu kutupima imani yetu,sasa na asiimia kubwa tumemgeukia shetan na kuamin ule usemi watu wanaangamia kwa kuksa maarifa
 
Jamani Jana ilikuaje sijui yani maana, wakati nasikiliza mpira redioni Mara usingizi huo nashtuka saa 8 sijafunga mlango taa inawaka bado kidogo nikimbie nikaisi nishaibiwa kumbe uchovu tu,
Matokeo ngapi ngapi vile!?
Vile unajifanya umepoteza kumbukumbu ehh ngoja wanachama wa yangu waje watakuambia matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…