Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Missed you too wangu, niko salamaa kabisa vipi wewe jumatatu yako ImeendajeWangu umeshindaje Leo!? I missed you
Missed you too wangu, niko salamaa kabisa vipi wewe jumatatu yako ImeendajeWangu umeshindaje Leo!? I missed you
Mkuu unataka nini kumpatia mtoto jina la ankoHii hapa salamu mfikishie sana shemeji yangu na ajifungue salama, unategemea mtoto wa kike au wa kiume, kama ni wa kiume mpatie jina magufuli mkuu
Sakayo yupi tena, toxic9 umeshapata jirani mwingineHome kwangu ni jirani sana na kwa sakayo
Mwingine ameapishwa leo na kuongeza idadi ya vyama vya upinzani kushika dolaSakayo yupi tena, toxic9 umeshapata jirani mwingine
Sakayo haamini kama mmemisi, jana kasema anaumwa leo hata salamu??? Najutaaa kuwatanguliza mjini, NgachokaaYou missed her alot, hata mimi i missed her bi. sakayo
Kaka nipo tu napambana na hali si unajua tena jamaniiSakayo alitukimbia Leo kaka
Akusalimie na wewe mpendwa, mbona hajaleta salamuSana dear wangu i miss you, nimepita hapo kwako nikamuona mwanao nikamwambia akusalimie
Anko ndiyo au unapinga mkuu, lazima mtoto apewe jina litakalo tengeneza historyMkuu unataka nini kumpatia mtoto jina la anko
Mwingine ni atugSakayo yupi tena, toxic9 umeshapata jirani mwingine
Mkuu mie pia like wewe ila ni kujisahau tu, na tukikumbuka kama hivi basi tuwatizame kwa Jicho la tatuKabisa mkuu, tusiwasahau hawa watoto, wanatuhitaji sana tuwasaidie hata kwa nguo za mtumba tuwapelekee sio kuchangia harusi tu, sakayo upo vizuri sana na shughuli za kijamii i like u mkuu
Wawilii tuu ndo nini hebu toka hapa, wazazi wako wangezaa wawilii tuu wewe apo ungezaliwaWatoto wangapi watanifaa vilee![]()
![]()
mhmh nitaangalia na hali ya uchumi Ila me napenda wawili tu
Dola hili kulishika sio mchezoo ujueMwingine ameapishwa leo na kuongeza idadi ya vyama vya upinzani kushika dola
History gani hiyo na wewe, Umeshasahau sio. Achana na hayo majina bhanaAnko ndiyo au unapinga mkuu, lazima mtoto apewe jina litakalo tengeneza history
Ngachoka sakayo, tusamehe mheshimiwa maana vichwa vina vitu vingi sana, pole dear, unaendeleaje na malaria jamani?Sakayo haamini kama mmemisi, jana kasema anaumwa leo hata salamu??? Najutaaa kuwatanguliza mjini, Ngachokaa
Atug nae kapotea sio kawaidaMwingine ni atug
Imeendaje duh hata kukujibu ngumu maana naichukia kweli siku ya jumatatu kushinda hata wafanyakazi wa serikaliMissed you too wangu, niko salamaa kabisa vipi wewe jumatatu yako Imeendaje
Ngachokaa kumweneSakayo haamini kama mmemisi, jana kasema anaumwa leo hata salamu??? Najutaaa kuwatanguliza mjini, Ngachokaa
Kawaida yangu kumficha atug, ngoja nimuiteAtug nae kapotea sio kawaida
Serikali yenyewe hii imetusahau wafanyakazi wake ila kwa sie naona ka wametupendeleaImeendaje duh hata kukujibu ngumu maana naichukia kweli siku ya jumatatu kushinda hata wafanyakazi wa serikali