Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sakayo niko poa kabisa mpendwa, habari za jumatatuWangu wametulia nina wake sita na nawapendana sana, na wote nawatimizia haja ya mioyo yao, wazima humu ndani! Naanza na wewe jirani sakayo
Sakayo niko poa kabisa mpendwa, habari za jumatatuWangu wametulia nina wake sita na nawapendana sana, na wote nawatimizia haja ya mioyo yao, wazima humu ndani! Naanza na wewe jirani sakayo
Mkuu nimekupenda bureWewe usifikirie vibaya mpenzi wangu sina hakika kama anapigwa nje kwa sababu sijaona dalili lakini nimemaanisha usiwe makini sana na suala la mapenzi hasa kuwaza mabaya kwa mwenza wako au kumfuatilia sana kumbuka mwanamke hachungwi hivyo mpe uhuru ila sio uhuru uliopitiliza ama uliovuka mipaka, ni ule uhuru wa wastani mjali mpende msaidie ndivyo tunavyotakiwa kuishi na wenzi wetu, wake zetu, wachumba zetu, dada zetu, n.k
Kwanini una wasiwasi juu ya jambo dogo mkuu...
Hii hapa salamu mfikishie sana shemeji yangu na ajifungue salama, unategemea mtoto wa kike au wa kiume, kama ni wa kiume mpatie jina magufuli mkuuShemeji amesafiri Leo kwenda uingereza kujifungua nahisi atakua amefika jion hii
Kutoa tunatoa michango ya harusi tu, yatima tumewasahau kabisaTunawapenda kweli yatima??? Tafakari, Je ni nani humu ndani ana utaratibu wa kuwatembelea yatima na kuwasaidia kwa chochote? Naamini hatuzidi hata kumi, muwe na roho ya upendo na ya kutoa
Mkuu hainaga ushemeji ehh, usinifanyie mimi kwa mke wangu babaShemeji shemeji mwisho wabongo huzima taa! Any way ntamsalim mkuu
Mkuu Upo, miss wewe sanaKiatu cheusi mkuu
Home kwangu ni jirani sana na kwa sakayoMkuu wa kaya kapumzika kijiwe cha Home
Baba wa watoto 18 kama team ya mpira hatariMkuu hainaga ushemeji ehh, usinifanyie mimi kwa mke wangu baba
Mkuu, hilo jina unaweza ukaambiwa unafanya uchocheziHii hapa salamu mfikishie sana shemeji yangu na ajifungue salama, unategemea mtoto wa kike au wa kiume, kama ni wa kiume mpatie jina magufuli mkuu
You missed her alot, hata mimi i missed her bi. sakayoWangu umeshindaje Leo!? I missed you
Hatari shehe, nina mtoto mmoja banahBaba wa watoto 18 kama team ya mpira hatari
Sakayo alitukimbia Leo kakaYou missed her alot, hata mimi i missed her bi. sakayo
Sana dear wangu i miss you, nimepita hapo kwako nikamuona mwanao nikamwambia akusalimieMkuu Upo, miss wewe sana
Bhanah Fanya kama chibu weka mwingine tukuze familiaHatari shehe, nina mtoto mmoja banah
UchocheziMkuu, hilo jina unaweza ukaambiwa unafanya uchochezi
ahhhh mkuu, naheshimu sheria za nchi mkuu tena sana mimi kunguru muogaFamilia yako unategemea iwe na watoto wangapi?Bhanah Fanya kama chibu weka mwingine tukuze familia
Kabisa mkuu, tusiwasahau hawa watoto, wanatuhitaji sana tuwasaidie hata kwa nguo za mtumba tuwapelekee sio kuchangia harusi tu, sakayo upo vizuri sana na shughuli za kijamii i like u mkuuKutoa tunatoa michango ya harusi tu, yatima tumewasahau kabisa
Watoto wangapi watanifaa vileeFamilia yako unategemea iwe na watoto wangapi?
mhmh nitaangalia na hali ya uchumi Ila me napenda wawili tuFamilia uzazi wa mpango ni lazima na ni muhimu hasa kipindi hichi kigimu cha mheshimiwaBhanah Fanya kama chibu weka mwingine tukuze familia