Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,761
- 51,255
Ndani humu salama kabisa, naona hiyo google image inavutia antidotMkuu! hakika nimewamiss humu ndani
Ndani humu salama kabisa, naona hiyo google image inavutia antidotMkuu! hakika nimewamiss humu ndani
Kwema mkuuHumu ndani kwema?
Ndani humu umemiss sana nini bwana thoomasDaah......nilipamiss sana humu ndani
Aaaah nimemiss watu wooote na story za humu ndaniNdani humu umemiss sana nini bwana thoomas
Ndani humu tumekumiss pia shehe, lete habari za huko, habari ya familiaAaaah nimemiss watu wooote na story za humu ndani
Mshindi wa x-factorTena hakika mim ndo wa mwisho AKA mshindi
Huku kwema sana bwana familia iko salama kabisaaaaaNdani humu tumekumiss pia shehe, lete habari za huko, habari ya familia
Kabisaa ni faraja kusikia upo poa mkuu,Huku kwema sana bwana familia iko salama kabisaaaaa
Antidoti hawezi kaa hata siku moja pasipo kutumia Google ili aingie jf, hakika Google ni chanzo cha urafikiNdani humu salama kabisa, naona hiyo google image inavutia antidot
Urafiki wetu na udumu mileleAntidoti hawezi kaa hata siku moja pasipo kutumia Google ili aingie jf, hakika Google ni chanzo cha urafiki
Milele udumu mpaka wana jf tuzeeke pamojaUrafiki wetu na udumu milele
Pamoja kama soldierMilele udumu mpaka wana jf tuzeeke pamoja
Soldier na mtutu, tupigane pamoja kuilinda furaha yetuPamoja kama soldier
Urafiki wetu ni wakutunza mkuu,msalimiie shemejiAntidoti hawezi kaa hata siku moja pasipo kutumia Google ili aingie jf, hakika Google ni chanzo cha urafiki
Shemeji amesafiri Leo kwenda uingereza kujifungua nahisi atakua amefika jion hiiUrafiki wetu ni wakutunza mkuu,msalimiie shemeji
Wangu umeshindaje Leo!? I missed youOvyo wapi tenaa jamani, punguza jazba mdogo wangu