Sh*t I didn't mean dat u quoted me wrong mkuu, sakayo and i known each other...Wewe mkuu
Usitake kumkwaza mwenzio
mpe uhuru hayo maswali sio poa
mwanamke kupigwa nje au ndani kwa sasa chukulia kawaida kikubwa ni kutafuta pesa na kupiga hatua katika maendeleo uking'ang'ania mapenzi utaumia mkuu...
Just leave a long that sh!t...
Tunapopendwa na sie hupenda pia, Jitahidi ukimpata umpende na umumjali. Ukiona mwanamke anachepuka jua kunaa analolikosa kutoka kwa mwanaume na amani huo ndo ukweliRoho mchafu ananguvu kuliko tsunami, mkuu najua umewai tu Ila basi dada angu yaliyopita si ndwele tugange yajayo Ila msitufanyie hivyo jamani wanaume siku hizi tunapenda kweli kweli tunapopendwa
Na wewe Usipende ugomwi bwana, huo ni mtazamo wake tuSh*t I didn't mean dat u quoted me wrong mkuu, sakayo and i known each other...
Wapendano wakigombana shika jembe ukalime...
Mkuu wako anapigwa sana nje enhee na wewe unatake easy samahani kwa hili Nina wasi wasi na wewe
Wake tu ndio anao wengi but wanamcheat ovyoNa wewe Usipende ugomwi bwana, huo ni mtazamo wake tu
Ovyo wapi tenaa jamani, punguza jazba mdogo wanguWake tu ndio anao wengi but wanamcheat ovyo
Wangu wametulia nina wake sita na nawapendana sana, na wote nawatimizia haja ya mioyo yao, wazima humu ndani! Naanza na wewe jirani sakayoOvyo wapi tenaa jamani, punguza jazba mdogo wangu
Aliyekutanguli kwa umri mpe shikamoo yake, mkuu wewe ni mgeni ehh mbona hujavaa kamba mguuniKumbe tunaanza statement kwa kutumia neno la mwisho kwa mtu aliyekutangulia
Wewe usifikirie vibaya mpenzi wangu sina hakika kama anapigwa nje kwa sababu sijaona dalili lakini nimemaanisha usiwe makini sana na suala la mapenzi hasa kuwaza mabaya kwa mwenza wako au kumfuatilia sana kumbuka mwanamke hachungwi hivyo mpe uhuru ila sio uhuru uliopitiliza ama uliovuka mipaka, ni ule uhuru wa wastani mjali mpende msaidie ndivyo tunavyotakiwa kuishi na wenzi wetu, wake zetu, wachumba zetu, dada zetu, n.kSh*t I didn't mean dat u quoted me wrong mkuu, sakayo and i known each other...
Wapendano wakigombana shika jembe ukalime...
Mkuu wako anapigwa sana nje enhee na wewe unatake easy samahani kwa hili Nina wasi wasi na wewe
Tunawapenda kweli yatima??? Tafakari, Je ni nani humu ndani ana utaratibu wa kuwatembelea yatima na kuwasaidia kwa chochote? Naamini hatuzidi hata kumi, muwe na roho ya upendo na ya kutoaTunapopendwa tunafurahi nasi tunawapenda
Mguuni amevaa kiatuAliyekutanguli kwa umri mpe shikamoo yake, mkuu wewe ni mgeni ehh mbona hujavaa kamba mguuni
Kiatu cheusi mkuuMguuni amevaa kiatu
Mkuu! hakika nimewamiss humu ndaniKiatu cheusi mkuu
Humu ndani kwema?Mkuu! hakika nimewamiss humu ndani
Kwema sana nashukuru Mungu tumekutana tenaHumu ndani kwema?