Namge
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,446
- 1,991
Ananisaliti lakini nashindwa kumwacha kwa utamu wa Mahaba yakeNdoa yangu ipo matatani sana kusambaratika maana mke wangu nimegundua ananisaliti.
Ananisaliti lakini nashindwa kumwacha kwa utamu wa Mahaba yakeNdoa yangu ipo matatani sana kusambaratika maana mke wangu nimegundua ananisaliti.
Yake tamu sana hasa mida ya asubuhiAnanisaliti lakini nashindwa kumwacha kwa utamu wa Mahaba yake
Kazini kwa Rais2020 ni wezi sanaAsubuhi utaujuae utamu ilihali unawahi kazini????
Anakusaliti wa kwako. Mimi napiga vyangu vitamu na heavy mida ya SAA sita mpaka SAA kumi usiku halafu namwacha kajichokea akisikilizia maymivuUnawahi kazini unaacha utamu nyumbani kwa mkeo ndio maana anakusaliti
Maumivu ya kutendwa ni makali mno, habari za humu ndaniAnakusaliti wa kwako. Mimi napiga vyangu vitamu na heavy mida ya SAA sita mpaka SAA kumi usiku halafu namwacha kajichokea akisikilizia maymivu
Ndoa ya aina gani.. Mkuu hebu funguka kwa mapana maana umenishtua si kidogo.Kabisa nmeota nafunga ndoa
Humu ndani hali si shwari mnawasaliti sana wapenzi wenu kwa lakini nyie wadadaMaumivu ya kutendwa ni makali mno, habari za humu ndani
Wadada hupendelea kubembelezwaHumu ndani hali si shwari mnawasaliti sana wapenzi wenu kwa lakini nyie wadada
Kumbelezwa mnabembelezwa hela mnapewa lakini bado mnapigwa nje kwanini mko hivyo lakini!?Wadada hupendelea kubembelezwa
Ndani ya uhusiano wa kimapenzi kati ya mwanamke na mwanaume ambao wamebatizwa jina la wapendanao, au wapenzi kama si wachumba. la hasha wakishafunga pingu za maisha hubatizwa kwa jina la wanandoa kama si mke na mume, mahusiano ya hawa watu wawili kati ya jinsia mbili tofauti wakikwaruzana ni rahisi ama ngumu kurudiana kama si kupatana upya, hii inategemea na msingi wa uhusiano wao tangu mwanzo, aghalabu mahusiano kwa kizazi cha sasa kinaendeshwa na mfumo wa pesa, pesa hii huharibu kabisa uhusiano kati ya mke na mume kwa sababu mmoja wao kutaka kuonesha jeuri ya pesa aliyonayo na kusahau penzi lao la dhati la muda mrefu, tusaidie iwe mwenyezi mungu.Maumivu ya kutendwa ni makali mno, habari za humu ndani
Lakini wewe huna mpenzi, unalalamika nini sasa. Acha umbea utasutwa mdogo wangu. We ukimpata akapigwa nje huku unampa hela jua humkunji vizuriKumbelezwa mnabembelezwa hela mnapewa lakini bado mnapigwa nje kwanini mko hivyo lakini!?
Vizuri sana kwa ushauri wako, mpenzi sina we si ulilataa kunipa yule anayekufuata sasa nitafanye jamani halafu kuna usemi huu, "we learn through mistake" kwa hiyo acha nijifunze...Lakini wewe huna mpenzi, unalalamika nini sasa. Acha umbea utasutwa mdogo wangu. We ukimpata akapigwa nje huku unampa hela jua humkunji vizuri
Wewe, kwanza naanzia wapi kumcheat jamani, ila kuna muda ambao napata vishawishi lakini nikikukumbuka tulipotoka namkemea roho mchafuVizuri sana kwa ushauri wako, mpenzi sina we si ulilataa kunipa yule anayekufuata sasa nitafanye jamani halafu kuna usemi huu, "we learn through mistake" kwa hiyo acha nijifunze...
Samahani mkuu ujawai kumcheat shemeji kweli wewe!?
Wewe mkuuVizuri sana kwa ushauri wako, mpenzi sina we si ulilataa kunipa yule anayekufuata sasa nitafanye jamani halafu kuna usemi huu, "we learn through mistake" kwa hiyo acha nijifunze...
Samahani mkuu ujawai kumcheat shemeji kweli wewe!?
Roho mchafu ananguvu kuliko tsunami, mkuu najua umewai tu Ila basi dada angu yaliyopita si ndwele tugange yajayo Ila msitufanyie hivyo jamani wanaume siku hizi tunapenda kweli kweli tunapopendwaWewe, kwanza naanzia wapi kumcheat jamani, ila kuna muda ambao napata vishawishi lakini nikikukumbuka tulipotoka namkemea roho mchafu