Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Sana sana usisahau kufikisha salam zangu kwa
Mamaafacebook II
Sakayo
Toxic9
Iceman 3D
Gbefa
Shunie
Aishah2016
Dem boy..waambie nimewamiss sana bests zangu, hata nikiwa sipo online waambie nipo:;nimedownload Jf kuja kuwapa hai..baada ya miezi kadhaa Inshallah nitarudi nikimaliza project!!
usisahau kuwaambia mimi nipo, sawa?
Sawa wapi mkuu, yani unakuja nakuondoka mkuu, hujuwi kama kuna muda unapaswa kutenga kwajili ya marafiki mkuu?
 
Alipo saanane hawezi mtu kujua labda muwaulize saasaba na saatisa coz hao ndo wanaonekanaga kuwa karibu na huyo jamaa
 
Back
Top Bottom